Leo tumalize ubishi ni msanii gani wa rap anaweza fika hata nusu ya Fid Q

A list with Wayne on it shouldn't be taken seriously
hater or ignorant?
The Carter series discography bridge a gap between old and new hip hop.for hater he said

Man, I got Summer hating on me cause I’m hotter then the Sun
Got Spring hating on me cause I ain’t never sprung
Winter hating on me cause I’m colder than ya’ll
And I would never, I would never, I would never Fall
I’m being hated by the seasons
So https://jamii.app/JFUserGuide ya’ll who hating for no reason
 
Kuna jamaa mmoja aliandika article akataja ma MC waliotawala mwaka kwa mwaka.Idea yakeilikuwa haina maana kuongelea GOAT, kuna waliotamba kwa wakati wao.

Ila nilikuwa namuangalia LL Cool J jamna katunukiwa award ya achievement Kennedy Center.

That's a first for a rapper.

Opinion | The Trump-Less Kennedy Center Honors

 
yeah i guess nimetumia neno zito kidogo G.O.A.T ila kuna kale kamsemo respect your OLD G yaani ela hii inatabia ya kukuza sana kizazi chao na kusahau vichwa vilivyowafikisha hapo...all in all mi ni ERA ya kina MwanaFA,Langa, Ila piga UA bado mr 2 namweka levo za peke yake.....namwona kwa mbaali lionel richie
Lionel Richie
 
Mimi huwa nasema.
0. Prof-

1. Fid -
2. JCB-Mbwa
3. Nikk mbishi
4. One the
5. Afande-solo
...
...
...

Laiti nikkmbishi angeacha stress..

Nikk ni moja ya wasanii wachache wenye uwasanii wa karibia kila msaani ndani yake na alikuwa bora kwangu. Ana u prof J ndani yake angalia "sauti ya jogoo". Anau fid q ndani yake angalia "Punchline".


Kuna watu walisikika kwa Muda mfupi kama Dogo Hashim na Father nelly siwezi kuwaongelea.
 
Huyo asiyejua tofauti ya L na R kwenye mashairi yake?
Labda amemzidi Fid kwa kua na kibiongo
Mkuu sikusema anamzid Fid, ila nmejibu swali la mtoa mada kwamba 'msanii yupi anafikia hata nusu ya Fid' Stamina kweli anapita hyo nusu na kama hukubali basi utakuwa na chuki binafsi
 
Ni perception mkuu mimi nawajua waliomzidi hao wa nusu siwajui mfano joh makin,prof jay,afande sele (hata yeye alikiri) ,mr sugu ,ngwear etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…