Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Aiiiiiiiibu ad infinitum. Kumbe bado tunao vihiyo wengi. Huyu si wangemtupa korokoroni kwa utapeli tu.Kama mnakumbuka mwaka 2013 kwenye kifo cha Mandela, serikali ya Afrika Kusini ilileta mtafasiri wa Lugha anaeitwa Thamsanqa Jantjie ambae alitia fora kwa ishara za lugha ambazo hazipo Duniani.
Kwa kweli ni boooongee la TAPELI!Aiiiiiiiibu ad infinitum. Kumbe bado tunao vihiyo wengi. Huyu si wangemtupa korokoroni kwa utapeli tu.
Yupi, huyu wa leo ama yule wa South?Alaumiwe lwa kusema uongo. Lakini Mimi alinifurahisha. Alinifanya nicheke sana katika siku iliyojaa majonzi!