Leo tunafunga rasmi mjadala kwa Kukubaliana kuwa ni kweli kabisa Wanawake wote Kipaumbele chao kwa Wanaume ni Pesa na Maisha mazuri na siyo Mengineyo

Huo ni uongo!! Tunawapenda nyie na pesa zenu.
 
Ukiwa huna pesa mbona hata mwaka unatoboa ila sabuni na mafuta ndani haviishi km mwanafunzi wa bweni 😹😹😹
Yaan nyie mnajuaga kama mtu hahangaiki na wadada bas sabuni na mafuta vinampa utelezi 😁sio kwel ile ni Kwa wale tuliopita uboyzn hamna namna ndo kidogo unapunguza up-wiru ila mtaani siyo kwel
 
Yaan nyie mnajuaga kama mtu hahangaiki na wadada bas sabuni na mafuta vinampa utelezi 😁sio kwel ile ni Kwa wale tuliopita uboyzn hamna namna ndo kidogo unapunguza up-wiru ila mtaani siyo kwel
Nyeto zote zimeanzia uboyzn mkitoka huko mkikosa mademu mnajilipua ilo liko wazi tunajua 😹😹😹
 
Nakubaliana na wewe, ukipendwa huna pesa amini unatumika kwa muda tu vinginevyo huyo mwanamke anaiona furure yenye mafanikio ndani yako hivyo pambana sana usimwangushe ukaishia kumlaumu badae.
 

Attachments

  • 255755501333_status_51a5b9cd6e664bbf8699d7cf66d8b5f3.mp4
    1.2 MB
👏👏
 
inategemeana na ntu na ntu, unasema mjerumani alimkataa kisa hana pesa lakini wakati huo huo mmsai amemkubali bila pesa, halafu unahitimisha kuwa wanawake wote wanataka pesa, ina maana Wamasai sio wanawake?
Pesa za mwanetu kwa mmasai ni ukwasi mkubwa sanaaa lakini kwa Mjerumani ni ufukara, hujaelewa nini hapo?
 
Wanaume bakini na pesa zenu na nyie msituombe hiko mnachotuomba mbona simple tyuu.!!
Kwann uumize kichwa na ubongo kwa vitu vya kijinga?? Eti mahi zetu nini mbaya?! 😹😹
Tukisema sisi wanaume tubaki na hela zetu afu nyie wanawake mbaki na mbususu zenu walahi nyie ndo mtakuwa wa Kwanza kutupa taulo na kusurrender
Kwa sababu mtateseka Sana😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…