Leo tunafunga rasmi mjadala kwa Kukubaliana kuwa ni kweli kabisa Wanawake wote Kipaumbele chao kwa Wanaume ni Pesa na Maisha mazuri na siyo Mengineyo

Mambo ni tot for tat...mbususu for ndalama 🤣🤣🤣🤣
 
Wanaume bakini na pesa zenu na nyie msituombe hiko mnachotuomba mbona simple tyuu.!!
Kwann uumize kichwa na ubongo kwa vitu vya kijinga?? Eti mahi zetu nini mbaya?! 😹😹

Au huenda kuna kijumba au vibanda anavipigia hesabu kuzani Mwanaume atatangulia kufa ili yeye awe mrithi.

Pengine kapiga hesabu akilianzisha la kuondoka itakuwa ngumu kugawana pasu to pasu sababu hajatoa hata 100 ya kujenga hivyo vijumba.
 
Mkuu umetisha sana huu ndo ukweli mchungu
 
Wanawake wameumbwa hivyo.

Mfano, Adamu alipoumbwa alimilikishwa kila kitu pale bustanini wakati huo Mwanamke alikuwa hajaumbwa bado.

Mwanamke alipoumbwa alimkuta Adam akiwa anamiliki kila kilichokuwemo bustanini.

Na hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa kwetu sisi Wanaume kabla ya kuoa tunapaswa kuwa na uwezo wa kumtunza huyo mwanamke na watoto watakaozaliwa.

Mwanamke anayemkataa Mwanaume maskini hana makosa. Kiasili Wanawake ndivyo walivyo, wanavutiwa zaidi na Wanaume wenye uwezo wa kuwatunza.
 
Mimi nilivunjika sana Moyo baada ya kumsikia dada/mama mmoja tena kwa masikio yangu.
Aliongea wazi kwamba endapo mumewe akifa na amemuachia Nyumba,magari,vitega uchumi kama duka,shamba,kampuni..huyo mwanaume akifa,atajifanya kulia ili kuzuga tu mbele za waombolezaji wengine,kwakuwa ameshapata hitaji lake kuu la maisha yake.
Pia kuna mwingine nilimsikia akisema,"mimi mume wangu kama akinijengea nyumba,akanifungulia duka na kuninunulia gari,hata akitaka kwenda kuoa wake wengine wawili,aende tu!"
Wanawake lengo lao ni hela na kumkwamua kiuchumi tu,hawanaga Upendo kwetu.
 


Sio kweli.

Pendo la kweli la dhati ya moyo halipaswi kuwa na masharti.

Sema ni tamaa imezidi na hila.
 
Duu, noma sana
 
Sio kweli.

Pendo la kweli la dhati ya moyo halipaswi kuwa na masharti.

Sema ni tamaa imezidi na hila.
Kupenda, sijui, mapenzi ya dhati, hizi ni ngonjera tu.

Tafuta pesa mkuu, bila pesa utakula "mapenzi"?

Bila pesa utasomesha watoto shule kwa "mapenzi"?

Wanaume wenzangu tutafute pesa, ukiwa na "future" utaoa Mwanamke yeyote utakayemtaka.
 
Kupenda, sijui, mapenzi ya dhati, hizi ni ngonjera tu.

Tafuta pesa mkuu, bila pesa utakula "mapenzi"?

Bila pesa utasomesha watoto shule kwa "mapenzi"?

Wanaume wenzangu tutafute pesa, ukiwa na "future" utaoa Mwanamke yeyote utakayemtaka.

Kwamba wenye Pesa ndio wana guarantee ya kudumu kwenye mapenzi ?

Kufanya kazi na kujipatia riziki hiyo huwa given ni wala haina mjadala maana ni agizo kutoka vitabu vitakatifu.

Ninachopinga mimi ni ile dhana potofu na tamaa ya kuondoa upendo wa asili na kuweka tamaa na maslahi binafsi ya wanawake mbele.

Kumbuka Kwamba maisha saingine ni kama bahari ya Kiowa na kujaa,

Mwanamke anaekupendea Pesa siku zikikata atakutafutia visingizio akukimbie muchane.

Lakini mwenye upendo wa kweli atakuvumilia na kuwa nasubiri na kukutia
Moyo badała ya kukuongezea msongo wa mawazo.
 


Napenda maisha ya vijijini bado u-fake love haujatamalaki kwa sana.

Utakuta Mwanaume ni mkulima saingine anaweza kukosa hata mia ni kawaida ,
Ako na mitala na wanawake ndio wanaofanyakazi ( kulima) na shughuli za nyumbani na wanaheshimiana na kupendana.

Actually ndio asili ,
Hata mbughani Mkuu wa pori Simba kazi yake ni kutoa ulinzi wa familia tu na kusex.
Wafanyakazi na waleta mkate wa familia ni wake zake 👌👌
Na walivyo adabu wakipata mawindo hawali hadi mume wao amalize kula yeye kwanza akishamaliza ndipo watakuwa wakeze na watoto.
Ni nidhamu ya kiwango hii?!
Kuna funzo kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…