Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio msemo wao sahivi.Mwanamke akisema anataka "security " maana yake ndio hiyo...pesa, maisha safi!!
Basi tutakujengea nyumba tuweke electrical fence..si unapata security 🤪Uongoooo! 🤣🤣
Mambo ni tot for tat...mbususu for ndalama 🤣🤣🤣🤣Okay, umeshajua yeye anataka pesa wewe kwake unataka nini??
Bora yake anajua atakacho, itakua mbaya kwako kama umejua anataka pesa na wewe hujui unataka nini, ama lah unataka kitu asichoweza kuoffer.
Mpe pesa akupe utakacho, kama hawezi huyo hakufai, na kama huwezi basi wewe pia humfai.
Ndiooo😂😂Basi tutakujengea nyumba tuweke electrical fence..si unapata security 🤪
🤣🤣🤣🤣🤣nimetoka kuzima taa km nusu saa alafu nakutana na hii comment..dah!😹😹😹 Basi msiwe walalamishi na pesa zenu.!!
Na hakuna kitu mnakifurahia km kuambiwa kazime taa😜
Hapo utarukia switch km jini
Wanaume bakini na pesa zenu na nyie msituombe hiko mnachotuomba mbona simple tyuu.!!
Kwann uumize kichwa na ubongo kwa vitu vya kijinga?? Eti mahi zetu nini mbaya?! 😹😹
Mkuu umetisha sana huu ndo ukweli mchunguAsante sana kwa kunialika hapa.
Wanachoangalia wanawake ni hela. Kwa ajiri ya pesa wanawake wanaweza kufanya chochote.Kwa ajiri ya pesa mwanamke anaweza akavumilia chochote.
M-cheat atamlaumu mchepuko wako, mpige atavumilia, mwambie mchepuko wako ana mimba atajiliza liza lakini hawezi kukuacha. Ukiwa na pesa mwanamke yupo tayari kuwa mtumwa wako. Women make rules for the broke and break rules for rich guys
Wanawake wote ni makahaba, wanajiuza na wananunulika ni suala la mwanaume kumudu bei tu.
Wanawake wameumbwa hivyo.
Mfano, Adamu alipoumbwa alimilikishwa kila kitu pale bustanini wakati huo Mwanamke alikuwa hajaumbwa bado.
Mwanamke alipoumbwa alimkuta Adam akiwa anamiliki kila kilichokuwemo bustanini.
Na hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa kwetu sisi Wanaume kabla ya kuoa tunapaswa kuwa na uwezo wa kumtunza huyo mwanamke na watoto watakaozaliwa.
Mwanamke anayemkataa Mwanaume maskini hana makosa. Kiasili Wanawake ndivyo walivyo, wanavutiwa zaidi na Wanaume wenye uwezo wa kuwatunza.
Duu, noma sanaMimi nilivunjika sana Moyo baada ya kumsikia dada/mama mmoja tena kwa masikio yangu.
Aliongea wazi kwamba endapo mumewe akifa na amemuachia Nyumba,magari,vitega uchumi kama duka,shamba,kampuni..huyo mwanaume akifa,atajifanya kulia ili kuzuga tu mbele za waombolezaji wengine,kwakuwa ameshapata hitaji lake kuu la maisha yake.
Pia kuna mwingine nilimsikia akisema,"mimi mume wangu kama akinijengea nyumba,akanifungulia duka na kuninunulia gari,hata akitaka kwenda kuoa wake wengine wawili,aende tu!"
Wanawake lengo lao ni hela na kumkwamua kiuchumi tu,hawanaga Upendo kwetu.
Kupenda, sijui, mapenzi ya dhati, hizi ni ngonjera tu.Sio kweli.
Pendo la kweli la dhati ya moyo halipaswi kuwa na masharti.
Sema ni tamaa imezidi na hila.
Kupenda, sijui, mapenzi ya dhati, hizi ni ngonjera tu.
Tafuta pesa mkuu, bila pesa utakula "mapenzi"?
Bila pesa utasomesha watoto shule kwa "mapenzi"?
Wanaume wenzangu tutafute pesa, ukiwa na "future" utaoa Mwanamke yeyote utakayemtaka.
Akiwa mfanyakazi wa Redio Berlin Internation nchini Ujerumani, James Lembeli alikutana na binti wa Kijerumani, Birgit Lifka, wawili hawa wakaanzisha urafiki uliowapeleka kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Kwa Lembeli uhusiano huo haukuwa wa kupoteza muda, aliamini kuwa mwanamke huyo ndiye atakayekuja kuwa mke wake na mama wa watoto wake kwa kuwa alishamridhia kwa shida na raha.
Wakati yeye akiwaza hivyo, mambo yalikuwa tofauti kwa Birgit, yeye alitaka uhakika wa maisha yake, hilo lilimfanya akatae kuja Tanzania kuishi na mwanamume huyo kwa kuwa hakuona hatima yake siku za usoni.
Katika mahojiano aliyofanya na gazeti hili, Lembeli anasimulia kisa hicho akikumbuka namna umaskini ulivyomfanya amkose mrembo huyo wa Kijerumani.
Mwanasiasa huyo mkongwe, mbunge wa zamani wa jimbo la Kahama mjini, anasema kutokuwa na kazi kuliharibu ndoto hiyo, ingawa baadaye alikuja kumpata mke wa maisha yake, Hawa Mchinja.
"Ni 'binti' mrembo wa Kimasai kutoka Arusha, alibadilisha maisha yangu kabisa, nilipomchumbia ikabidi nimwambie yule wa Ujerumani kwamba sasa nataka kuoa.
"Aliniandikia barua ya kurasa tisa, kilichoandikwa mule ni siri yangu," anasimulia Lembeli, katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika Julai Mosi, jijini Dar es Salaam yakiangazia masuala mbalimbali ya kisiasa na kijamii.
Chanzo: mwananchi_official
Jidanganye tu hapo ulipo kuwa hata kama huna Hela basi Mwanamke atakupenda na kukuvumilia Maishani sawa?
Kudadadeki......!!
Unauliza Sifa kwa Dully Sykes?Kwa hivyo ....NGUVU ZA KIUME NI PESAA...........???
Mbunye zenu.Kwani wanaume huwa tunafata nini kwa wanawake? Naomba unipe jibu kamili ili tufunge mjadala