Leo tupo Musoma

Leo tupo Musoma

Kuna sehem inaitwa level 8 iko aposhinyanga mjini.....inafanana Sana na level 8 ya goldcrest mwanza...ni pazur kweli lakini kwa upande wa vinywaji....
Unakunywa huku unaangalia mji kwa juu...pana view nzuri
Ila sjawahigi kula hapo ....ila unaeza enda unaweza kuta msosi uko vizuri
Level 8 is no more, wamehama kwa sasa wanapaita level 1, ipo mitaa ya kambarage.
 
Nilikuwa Singida Juzi Safi Maeneo Ya Kula Na Club Tele
Haa [emoji3][emoji16][emoji23] Niko Shinyanga Muda Huu Ndiyo Aibu Sehemu Nzuri Za Chakula Shida. Unayemuuliza Akikuelekeza Ukifika Oops!!! Hutataka Hata Kupaona Tena


Mlioko Shinyanga Nitajieni Viwanja
Hahaaa shinyanga aisee hapafai. Nilikuwa last week hapo kwasiku tatu, mayoo nilikoma. Ila Kuna kiwanja kipya kimeanzishwa ni kizuri Sana kinaitwa level one Kama skosei.
 
Heehh ....so hapo level one n floor ya kwanzaa au ??
Iyo ya kambarage inaitwaje jina
Waliokuwa wanaendesha biashara hapo level 8, ndio wameamia hapo kambarage maeneo ya karena hotel, ndio wamepaita level 1, ipo chini ila ni pazuri.
 
Mzunguko wa hela haupo tuseme upo chini
Patakuwa pamemezwa na Mwanza, kama ilivyo kwa pwani na morogoro palivyomezwa na Dar. Angalau pangekuwa karibu na Arusha na Nairobi pangeweza kupata wawekezaji wa kutosha..
 
Mwenye buku tano jamani ndugu zangu naomba anisaidie jamani nimekwama hapa umeme luku umeisha na ni zamu kulipia na nikijicheck sina kitu mfukoni mpaka jumatatu ndo niingie job mwenye nayo mi ntamrudishia 0674615883 jina john nyambina 🙏
 
Back
Top Bottom