Leo tupo Musoma

Level 8 is no more, wamehama kwa sasa wanapaita level 1, ipo mitaa ya kambarage.
 
Hahaaa shinyanga aisee hapafai. Nilikuwa last week hapo kwasiku tatu, mayoo nilikoma. Ila Kuna kiwanja kipya kimeanzishwa ni kizuri Sana kinaitwa level one Kama skosei.
 
Heehh ....so hapo level one n floor ya kwanzaa au ??
Iyo ya kambarage inaitwaje jina
Waliokuwa wanaendesha biashara hapo level 8, ndio wameamia hapo kambarage maeneo ya karena hotel, ndio wamepaita level 1, ipo chini ila ni pazuri.
 
Mzunguko wa hela haupo tuseme upo chini
Patakuwa pamemezwa na Mwanza, kama ilivyo kwa pwani na morogoro palivyomezwa na Dar. Angalau pangekuwa karibu na Arusha na Nairobi pangeweza kupata wawekezaji wa kutosha..
 
Mwenye buku tano jamani ndugu zangu naomba anisaidie jamani nimekwama hapa umeme luku umeisha na ni zamu kulipia na nikijicheck sina kitu mfukoni mpaka jumatatu ndo niingie job mwenye nayo mi ntamrudishia 0674615883 jina john nyambina 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…