denis fourplux
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 1,049
- 1,385
Uo mtaa wa makongoro unanini...hasaa naona unasifiwa sifiwa
AahhWahuni wengi,kuna bar pale kiufupi ni moja kati ya mtaa ambao unavimbwanga vingi kama wizi, ukabaji, dada poa, makundi kama Jamaika Mokaz, Football players,Rich family kiufupi mzee mitaa zote za Msm Masstown wanavyopaita nimechafua sana wazaliwa wengi nawajua
[emoji16] Nahisi nitakuwa nishawahi kukuonaMwigobhelo, nyamatare, rwamlimi, kamunyonge, nyakato, nyasho, mwisenge..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rwamlimi Kuna Chaka gan zaidi ya maasai Mara mkuu?
Tembo beach 02:47View attachment 1523006
Imefanyaje
Ata wewe nahisi nakujua tu
nimepamisi huko balaa kwanzia iringo nilipozaliwa mwisenge mtaa wa mkinyerero nilipokulia,mwisenge primary na secondary niliposomea,mtakuja,buhare,nyasho,kigera,makoko mukendo,bweri na majita road mitaa imenilea
asante sa a mleta mada kwa huu uzi nakumbuka sehemu za bata kama bwalo la polisi,mativila Beach,tembo Beach,Musoma hotel,pensula complex na hotel na dream garden n.k
tarudi tena kuendelea kueleza mazuri ya musoma yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Shiriki kutoa comments bhanaNasoma comments tyuuuuh
[emoji23][emoji23][emoji23]Unanijuaje?, ushawahi kuniona?Ata wewe nahisi nakujua tu
[emoji2] Wenyeji mmepakimbia kwenu mmetuachia sie wageninimepamisi huko balaa kwanzia iringo nilipozaliwa mwisenge mtaa wa mkinyerero nilipokulia,mwisenge primary na secondary niliposomea,mtakuja,buhare,nyasho,kigera,makoko mukendo,bweri na majita road mitaa imenilea
asante sa a mleta mada kwa huu uzi nakumbuka sehemu za bata kama bwalo la polisi,mativila Beach,tembo Beach,Musoma hotel,pensula complex na hotel na dream garden n.k
tarudi tena kuendelea kueleza mazuri ya musoma yangu.
Mimi mbona mwenyeji nipo sijapakimbia[emoji2] Wenyeji mmepakimbia kwenu mmetuachia sie wageni
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Nahisi[emoji23][emoji23][emoji23]Unanijuaje?, ushawahi kuniona?
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
ukirudi nitarudi, nasikia kuna mtaa fulani pale Musoma kuna mzee aliweka mlangoni kwake kibao cha NIPO/SIPO ili kuwajulisha wageni wake
hatujapakimbia bali tumetoka kidogo kisha tunarud kama ww tu[emoji2] Wenyeji mmepakimbia kwenu mmetuachia sie wageni
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Sawa kabisa mkuu msisahau kwenu [emoji2]hatujapakimbia bali tumetoka kidogo kisha tunarud kama ww tu
[emoji2] Vituo vya huduma za afya Musoma MCNahisi