Kweli mkuu kitaa kumepoa...Maniyuu kashikishwa adabu
Kama kawa kama dawa!Kweli mkuu kitaa kumepoa...Maniyuu kashikishwa adabu
Kweli na mkia wameufyataNasikia eti wameficha kende zao, ni kweli Mkuu?
Huku Dar kwa mudaLol! Kiongozi wewe upo maskani yepi?
nasikia Mourinho lile train alilolipaki kule Liverpool alisahau kule kwa kuzidiwa na furaha baada ya "kufanikiwa" kuambulia sare ya 0-0!Mzuqa wanajamvi
Usiku wa Leo utakuwa tulivu, amani Na usingizi mnono usiokuwa Na bugdha. Aidha kesho pia tutashinda kwa furaha Na amani. Hawa watu kwa mdomo tu dah afadhali wametulizwa kama wa LB7 walivyotulizwa Na kunyong'onyea walivyoambiwa hawatalipwa hela ya uchumba. Shhhhhhhh!!!
Huddersfield 2: Mani 1
Huku Dar kwa muda
nipo hispania mkuu kwa REAL MADRID TU....ILA MANIYUU SIIPENDI PALE UINGEREZAHahahahahahaha lol! Hilo nalijua Mkuu nilikuwa nauliza kuhusu hizi timu za majuu.
nipo hispania mkuu kwa REAL MADRID TU....ILA MANIYUU SIIPENDI PALE UINGEREZA