Leo tutalala kwa amani Na utulivu watu kimyaa

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuqa wanajamvi

Usiku wa Leo utakuwa tulivu, amani Na usingizi mnono usiokuwa Na bugdha. Aidha kesho pia tutashinda kwa furaha Na amani. Hawa watu kwa mdomo tu dah afadhali wametulizwa kama wa LB7 walivyotulizwa Na kunyong'onyea walivyoambiwa hawatalipwa hela ya uchumba. Shhhhhhhh!!!

Huddersfield 2: Mani 1
 
nasikia Mourinho lile train alilolipaki kule Liverpool alisahau kule kwa kuzidiwa na furaha baada ya "kufanikiwa" kuambulia sare ya 0-0!
 
Back
Top Bottom