Leo tutoke Out kidogo

Leo tutoke Out kidogo

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow

Leo hatupiki leo tunatoka out kidogo kusafisha macho

Kwanza nilianzia kanisani kubugujika kidogo
1741630226793.png

baada ya hapo nikawa nawaza kichwa kizito so niende sehemu ya karibu na hapa nikaona ni cape town sehemu yangu pendwa
1741630416240.jpeg


Nikawa natuliza akili mm situmii pombe kabisa nikaagiza moctail

1741630642038.jpeg

Baada ya muda sikumaliza kuna mwamba kaniharibia mood upo likizo unapigiwa simu likizo yako imeeisha na upo kimya ujarudi dah 🤣 nikaseap home
 

Attachments

  • 1741630354085.jpeg
    1741630354085.jpeg
    208.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom