Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

Leo tuwaenzi na kuwakumbuka wazazi wetu waliotangulia mbele za haki

Daah mwaka jana tarehe kama hizi ni siku ambazo mama yangu mzazi alikuwa amebakisha siku 17 tu duniani.. Kifo kinaumiza sanaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Pumzika kwa amani mama.
 
Back
Top Bottom