CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,784
Dsm ndiko Rais anako chil, yaan yeye ni mwanaume wa DSM. Kwa ujumla safu yote ya uongozi wa kitaifa, kidini, kisiasa, kibishara, kimataifa wote wapo DSM. Sasa wa mikoani kweli mnajielewa?
Biashara zote kubwa kubwa kubwa zote zipo DSM. Wa mikoani mpo na utimamu kweli akilini kwenu?
Arusha ndiko biashara nyingi za utalii hufanyika, lakini DSM ndio kuna Bureau Changes nyingi kuliko huko. Wa mikoani tupo pamoja kweli?
Magari makali, nyumba kali zote DSM. Wa mikoani mnahesabu lakini?
Yaani, wa mikoani kitendo cha kula ugali dona basi hujiona mjanja sana kuliko wa DSM. Like serious?
Wanawake wakali, warembo wote wapo DSM. Mikoani mnahesabu lakini?
Zaidi ya 80% ya mzunguko wa pesa (money circulation) ipo DSM. Mikoani vipi huko kwenu?
Pesa zote yaani kama zote zinazoenda mikoani zinatoka DSM. Wa mikoani mnataka tusitishe? Hahahahaha
Vyuo vikuu vingi (yaani wasomi wengi wapo DSM). Wa mikoani mnasemaje?
Wanunuzi wa bidhaa toka kijijini ni wanaume wa DSM. Je, tukatae kununua? Eeehhhh?
Wa mikoani mnajua uwanja wa ndege Terminal 3 kweli? Aaaahhh mnazingua nyie.
Ok. Vipi Daraja la Nyerere aka Daraja la Kigamboni. Mnalifahamu kama lipo wapi?
Kwa leo naishia.
Enewei peace and love wakuu. Hapa ni chit chat dont take it personal....