Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu toeni msanii wenu aje kufanya show dsm, hata kuku hawatahudhuriaHuu mjadala wa wanaume wa Dar Vs Mikoani hautahusisha mambo ya nchi kama uchumi, miundombinu nk.
Sifa za wanaume ndizo pekee zinazotakiwa hapa. Tukianza kutambiana kwenye mambo ya uchumi, miundombinu na mambo mengine tutawaambia tu kitu kimoja kwamba. SISI WANAUME WA MIKOANI NDIO TUNAWALISHA NYIE WANAUME WA DAR AMBAO KUTWA MNAKAA KWENYE VIOO KUPAKA MIDOMO YENU PIKO.
Kumbuka hata panya road Ni wanaume wa dsmWanaume wa Dar:
*waoga wa mende.
*Sauti za 3 badala ya besi(sauti ya 4)
*Marioo(wapenda kulelewa na Wamama)
*Vibamia, tatuu, mateja.
*Domo zege
*Hawana makoromeo/Wambeya sana
*Wavaa vikuku, heleni, kata K, hujichubua.
*Wala chipsi mayai na kula kuku mataira.
Ujuaji mwingi kupita kiasi.
*Waoga wa panya road
*Wapiga punyeto, ma***ga.
*Wabetiji makungwi.
Wanaume wa mikoani:
*Kinyume chake na Wanaume wa Dar.
Niongeze sauti huko kwa back benchers?
nashangaaKwani shule zimeshafungwa?
etisha mla dona mwenzaguWanaume wa Dar:
*waoga wa mende.
*Sauti za 3 badala ya besi(sauti ya 4)
*Marioo(wapenda kulelewa na Wamama)
*Vibamia, tatuu, mateja.
*Domo zege
*Hawana makoromeo/Wambeya sana
*Wavaa vikuku, heleni, kata K, hujichubua.
*Wala chipsi mayai na kula kuku mataira.
Ujuaji mwingi kupita kiasi.
*Waoga wa panya road
*Wapiga punyeto, ma***ga.
*Wabetiji makungwi.
Wanaume wa mikoani:
*Kinyume chake na Wanaume wa Dar.
Niongeze sauti huko kwa back benchers?
Anajisahaulisha!umesahau wenye kutumia vumbi kwa wingi,waogopa panya road, wa kujichubua, michicha mwiba yote iko dar
unataja majengo na madaraja mara mzunguko wa pesa kuficha tatizo halisi uanaume wa dar uko kwenye matendo na kushindwa ile kitu sio madaraja wala ofisi.
Kupaka midomo pikoHuu mjadala wa wanaume wa Dar Vs Mikoani hautahusisha mambo ya nchi kama uchumi, miundombinu nk.