Hio miundo mbinu, hayo mambo ya uchumi yameletwa na wanaume wa ki brazil? DSM ndio pahala penye wanaume haswaa.....akili mingi nguvu kidogo, pesa mingi km yote. Wa mikoani mkajipange upyaaaaHuu mjadala wa wanaume wa Dar Vs Mikoani hautahusisha mambo ya nchi kama uchumi, miundombinu nk.
Sifa za wanaume ndizo pekee zinazotakiwa hapa. Tukianza kutambiana kwenye mambo ya uchumi, miundombinu na mambo mengine tutawaambia tu kitu kimoja kwamba. SISI WANAUME WA MIKOANI NDIO TUNAWALISHA NYIE WANAUME WA DAR AMBAO KUTWA MNAKAA KWENYE VIOO KUPAKA MIDOMO YENU PIKO.
Umesahau Rais anatakiwa achil mkoani Dodoma au unajitoa fahamu,Dsm ndiko Rais anako chil, yaan yeye ni mwanaume wa DSM. Kwa ujumla safu yote ya uongozi wa kitaifa, kidini, kisiasa, kibishara, kimataifa wote wapo DSM. Sasa wa mikoani kweli mnajielewa?
Biashara zote kubwa kubwa kubwa zote zipo DSM. Wa mikoani mpo na utimamu kweli akilini kwenu?
Arusha ndiko biashara nyingi za utalii hufanyika, lakini DSM ndio kuna Bureau Changes nyingi kuliko huko. Wa mikoani tupo pamoja kweli?
Magari makali, nyumba kali zote DSM. Wa mikoani mnahesabu lakini?
Yaani, wa mikoani kitendo cha kula ugali dona basi hujiona mjanja sana kuliko wa DSM. Like serious?
Wanawake wakali, warembo wote wapo DSM. Mikoani mnahesabu lakini?
Zaidi ya 80% ya mzunguko wa pesa (money circulation) ipo DSM. Mikoani vipi huko kwenu?
Pesa zote yaani kama zote zinazoenda mikoani zinatoka DSM. Wa mikoani mnataka tusitishe? Hahahahaha
Vyuo vikuu vingi (yaani wasomi wengi wapo DSM). Wa mikoani mnasemaje?
Wanunuzi wa bidhaa toka kijijini ni wanaume wa DSM. Je, tukatae kununua? Eeehhhh?
Wa mikoani mnajua uwanja wa ndege Terminal 3 kweli? Aaaahhh mnazingua nyie.
Ok. Vipi Daraja la Nyerere aka Daraja la Kigamboni. Mnalifahamu kama lipo wapi?
Kwa leo naishia.
Enewei peace and love wakuu. Hapa ni chit chat dont take it personal....
mkuu umenichekesha kwa sauti kumbe wanapakaga piko midomoni alafu mawaziri wengi kweli ni wanaume wa dar sijui wanakwama wapi?
Umeelezea vema sana.....sasa nikuulize. Kwa nini vitu soft vipo kwa wanaume wa dsm lkn vitu vigumu mfano mashamba yapo kwa wanaume wa mikoani? Mnakwama sana mazee!Umesahau Rais anatakiwa achil mkoani Dodoma au unajitoa fahamu,
Safu ya uongozi wa kitaifa, kidini, kibiashara, na kimataifa wako hapo kwakuwa ndio makao makuu, toka lini uliambiwa makao makuu ni mikoani umejitoa fahamu sio Huna pointi.
Biashara kubwa iko Dar kwakuwa ndio kuna bahari kuu na bandari kubwa ilijengwa hapo au unasemaje, hapa ulikosa utimamu wa kuelewa,
Bureau changes ziko nyingi dar kwakuwa kuna wageni wengi wanaokuja kufanya biashara zao na kupokea mizigo yao kutoka nje ya nchi si vinginevyo au hujaelewa na kukosa utimamu wa kuelewa,
Wafanya biashara wengi kupitia bandari ya dar wanaishi dar maana ni rahisi kupata mizigo yao na Wezi wengi wa pesa za serikali na matapeli wanao pata pesa kwa njia ya udanganyifu wapo wengi dar wakitembelea magari hayo makali na kujenga nyumba kali dar sijui kama utimamu wako hauja kujuza hivyo
Wa DSM mnaibiwa wake zenu kwa uzembe na kula chips kama wakike ndio maana mnakuwa mnapoteza sana nguvu za kuwamiliki wake zenu, mnakufa mapema kwa ukosefu wa akili, dona ndio chakula bora, hampo serious na maisha.
Hao wanawake wa kali na warembo ni ma changudoa wenye maradhi tu, ndio maana mnakufa mapema sana kwa kupalamia virusi, njoon mikoani mpate vitu adimu na fresh hesabu hilo.
Circulation ya pesa inategemea ni halali au sio halali, Benki kuu makao makuu ndio hutunza pesa zote za nchi na iko dar sijui huelewi hili lazima pesa itoke huko ije mkoani au ulitaka itoke wapi ambako hamna makao makuu ya benki kuu. Ebu akili yako sio timamu itulize kwanza ulifikirie hili,
Wasomi kama kina nani walio wengi wako dar? PhD nyingi za feki na maamuzi mengi yanayotolewa na walio na PhD feki yote yanatokea Dar sijawahi sikia kutoka mikoani. Jiongeze akili yako finyu sana fuatilia hili nadhali unalijua na unalielewa,
DSM hamna mashamba mashamba yapo mikoani sisi ndio wenye maamuzi ya kuwauzi au la ili tuwauwe na njaa tuone kama hamtalikimbia jiji. Tuliza akili dogo tukiamua tunawakwamisha halafu mkimbiwe na wanawake tuwachukue sisi ila wasiwe wagonjwa,
Toka muanze kununua bidhaa kama wanaume maana yake nini, mnaendeshwa kwa rimoti na wake zenu mmelishwa ma limbwata mmekuwa ma zezeta ndio maana mnahangaika kwenda sokoni wanaume mnatakiwa mmwagiwe maji ya ukoko wa ugali na dada zenu kwenye kona ili mzinduke sio ninyi.
Hivi karibuni serikali imedhamiria kujenga uwanja wa ndege terminal 4 kiwango cha zaidi ya terminal 3 ambayo hujawahi hata kuingia ndani sijui ujasiri wa kuitetea umeupata kupitia picha zinazo danganya,
Huku hatuna Bahari ambayo daraja lingeweza kujengwa sijui ulitakaje kwamba tuwe na daraja la nchi kavu kama hilo wakati hilo ni la juu ya bahari eti unajielewa kweli
Kwa hio uanaume wa mkoa unapigwa kwa uzinzi, uasherati, zinaa? Basi sawa, hapo wa mkoa mmeshinda. Wa dsm unapimwa kwa miundo mbinu, pesa, uchumi, elimu, nk hapa wa mikoani msithubutu nyie endeleeni na yenu sie huko hatupoumesahau wenye kutumia vumbi kwa wingi,waogopa panya road, wa kujichubua, michicha mwiba yote iko dar
unataja majengo na madaraja mara mzunguko wa pesa kuficha tatizo halisi uanaume wa dar uko kwenye matendo na kushindwa ile kitu sio madaraja wala ofisi.
Soft ni kwa mwanamke tu sio kwa mwanaume, mwanaume akiwa na vitu soft huyo ana maumbile ya kike, na mwanaume wa dar ikifika saa 9 usiku au saa 8 hana usingizi tena umekata kabisa. Kipato chetu wa mikoani ni Mashamba na ndio utajiri wetu, wanaume wa dSM wakistaafu huwa wanadhoofika hadi umauti unawakuta kabla ya umri, habari ndio hiyo kumbe hukuwa unajuaUmeelezea vema sana.....sasa nikuulize. Kwa nini vitu soft vipo kwa wanaume wa dsm lkn vitu vigumu mfano mashamba yapo kwa wanaume wa mikoani? Mnakwama sana mazee!
Umesahau Rais anatakiwa achil mkoani Dodoma au unajitoa fahamu,
Safu ya uongozi wa kitaifa, kidini, kibiashara, na kimataifa wako hapo kwakuwa ndio makao makuu, toka lini uliambiwa makao makuu ni mikoani umejitoa fahamu sio Huna pointi.
Biashara kubwa iko Dar kwakuwa ndio kuna bahari kuu na bandari kubwa ilijengwa hapo au unasemaje, hapa ulikosa utimamu wa kuelewa,
Bureau changes ziko nyingi dar kwakuwa kuna wageni wengi wanaokuja kufanya biashara zao na kupokea mizigo yao kutoka nje ya nchi si vinginevyo au hujaelewa na kukosa utimamu wa kuelewa,
Wafanya biashara wengi kupitia bandari ya dar wanaishi dar maana ni rahisi kupata mizigo yao na Wezi wengi wa pesa za serikali na matapeli wanao pata pesa kwa njia ya udanganyifu wapo wengi dar wakitembelea magari hayo makali na kujenga nyumba kali dar sijui kama utimamu wako hauja kujuza hivyo
Wa DSM mnaibiwa wake zenu kwa uzembe na kula chips kama wakike ndio maana mnakuwa mnapoteza sana nguvu za kuwamiliki wake zenu, mnakufa mapema kwa ukosefu wa akili, dona ndio chakula bora, hampo serious na maisha.
Hao wanawake wa kali na warembo ni ma changudoa wenye maradhi tu, ndio maana mnakufa mapema sana kwa kupalamia virusi, njoon mikoani mpate vitu adimu na fresh hesabu hilo.
Circulation ya pesa inategemea ni halali au sio halali, Benki kuu makao makuu ndio hutunza pesa zote za nchi na iko dar sijui huelewi hili lazima pesa itoke huko ije mkoani au ulitaka itoke wapi ambako hamna makao makuu ya benki kuu. Ebu akili yako sio timamu itulize kwanza ulifikirie hili,
Wasomi kama kina nani walio wengi wako dar? PhD nyingi za feki na maamuzi mengi yanayotolewa na walio na PhD feki yote yanatokea Dar sijawahi sikia kutoka mikoani. Jiongeze akili yako finyu sana fuatilia hili nadhali unalijua na unalielewa,
DSM hamna mashamba mashamba yapo mikoani sisi ndio wenye maamuzi ya kuwauzi au la ili tuwauwe na njaa tuone kama hamtalikimbia jiji. Tuliza akili dogo tukiamua tunawakwamisha halafu mkimbiwe na wanawake tuwachukue sisi ila wasiwe wagonjwa,
Toka muanze kununua bidhaa kama wanaume maana yake nini, mnaendeshwa kwa rimoti na wake zenu mmelishwa ma limbwata mmekuwa ma zezeta ndio maana mnahangaika kwenda sokoni wanaume mnatakiwa mmwagiwe maji ya ukoko wa ugali na dada zenu kwenye kona ili mzinduke sio ninyi.
Hivi karibuni serikali imedhamiria kujenga uwanja wa ndege terminal 4 kiwango cha zaidi ya terminal 3 ambayo hujawahi hata kuingia ndani sijui ujasiri wa kuitetea umeupata kupitia picha zinazo danganya,
Huku hatuna Bahari ambayo daraja lingeweza kujengwa sijui ulitakaje kwamba tuwe na daraja la nchi kavu kama hilo wakati hilo ni la juu ya bahari eti unajielewa kweli
Yule aliekuachia 7800 akakukimbia gesti akakuacha na lile sweta lako la Tanzania ni mwanaume wa darWanakuja
walaini hao Hawana tofauti na Dada zaoUmeelezea vema sana.....sasa nikuulize. Kwa nini vitu soft vipo kwa wanaume wa dsm lkn vitu vigumu mfano mashamba yapo kwa wanaume wa mikoani? Mnakwama sana mazee!
Hatuwezi kuwaonea wivu wanaume waliofanana na Dada zetu.. Itakuwa ni fedhea SanaWanaume wa mikoani kinachowasumbuaga ni wivu tu
Dsm ndiko Rais anako chil, yaan yeye ni mwanaume wa DSM. Kwa ujumla safu yote ya uongozi wa kitaifa, kidini, kisiasa, kibishara, kimataifa wote wapo DSM. Sasa wa mikoani kweli mnajielewa?
Biashara zote kubwa kubwa kubwa zote zipo DSM. Wa mikoani mpo na utimamu kweli akilini kwenu?
Arusha ndiko biashara nyingi za utalii hufanyika, lakini DSM ndio kuna Bureau Changes nyingi kuliko huko. Wa mikoani tupo pamoja kweli?
Magari makali, nyumba kali zote DSM. Wa mikoani mnahesabu lakini?
Yaani, wa mikoani kitendo cha kula ugali dona basi hujiona mjanja sana kuliko wa DSM. Like serious?
Wanawake wakali, warembo wote wapo DSM. Mikoani mnahesabu lakini?
Zaidi ya 80% ya mzunguko wa pesa (money circulation) ipo DSM. Mikoani vipi huko kwenu?
Pesa zote yaani kama zote zinazoenda mikoani zinatoka DSM. Wa mikoani mnataka tusitishe? Hahahahaha
Vyuo vikuu vingi (yaani wasomi wengi wapo DSM). Wa mikoani mnasemaje?
Wanunuzi wa bidhaa toka kijijini ni wanaume wa DSM. Je, tukatae kununua? Eeehhhh?
Wa mikoani mnajua uwanja wa ndege Terminal 3 kweli? Aaaahhh mnazingua nyie.
Ok. Vipi Daraja la Nyerere aka Daraja la Kigamboni. Mnalifahamu kama lipo wapi?
Kwa leo naishia.
Enewei peace and love wakuu. Hapa ni chit chat dont take it personal....
Kabisa yaani.Mkuu hebu acha kufananisha wanaume wa Dar na vitu vya ajabu ajabu......
Mjumbe sio makuku matahaira ni kuku vibudu yaani waliokwisha kufa ndio wanachinja.Wanaume wa Dar:
*waoga wa mende.
*Sauti za 3 badala ya besi(sauti ya 4)
*Marioo(wapenda kulelewa na Wamama)
*Vibamia, tatuu, mateja.
*Domo zege
*Hawana makoromeo/Wambeya sana
*Wavaa vikuku, heleni, kata K, hujichubua.
*Wala chipsi mayai na kula kuku mataira.
Ujuaji mwingi kupita kiasi.
*Waoga wa panya road
*Wapiga punyeto, ma***ga.
*Wabetiji makungwi.
Wanaume wa mikoani:
*Kinyume chake na Wanaume wa Dar.
Niongeze sauti huko kwa back benchers?
Umesahau Serikaki kwa kulitambua hilo imeamua ihamie mkoani (Dodoma)Dsm ndiko Rais anako chil, yaan yeye ni mwanaume wa DSM. Kwa ujumla safu yote ya uongozi wa kitaifa, kidini, kisiasa, kibishara, kimataifa wote wapo DSM. Sasa wa mikoani kweli mnajielewa?