Leo tuzike rasmi mjadala 'Wanaume wa Dsm vs Wanaume wa mikoani'. Hawa wa mikoani wanajielewa kweli?

Mkuu toeni msanii wenu aje kufanya show dsm, hata kuku hawatahudhuria

Aya na sisi tunatoa msanii wetu aje huko mkoani kwenu kufanya show.., mtampapalikia na nusu.
Sisi wanaume wa dsm tukifika huko mkoani kwenu attention za dada zenu zote kwetu
Nyie Sasa mkija huku dsm hata nusu attention
Mkuu dsm iache Kama ilivyo
Dsm kila mwanaume ana kigezo
Ndo maana badaboda wa huku kwetu huwezi kukompea na wa huko

Nahitimisha

Ukiona mwanaume wa mkoani anaichukia dar ,basi Kuna sababu mbili za msingi

1: kafika ubungo siku ya kwanza kaibiwa kila kitu...
Huwezi kuipenda dsm kwa namna hiyo

2: mpenzi wake alienda dar kusalimia akamgomea kurudi..kakutana na watu wanaojua kupetipeti
Wauza sura wamemsifia kwamba Ni mzuri, alafu arudi kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu dar hatunaga kujuana juana yaani Kama mkoani,
Dar kila mtu anamwona mwenzie mjanja
Hatuna dharau za kimkoa Kama baadhi ya mikoa, eti mgeni anajulikana

Dar hata ukiongea kilugha watu hawakuoneshi dharau
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kumbuka hata panya road Ni wanaume wa dsm
Swala la kula chips kweli tunapenda chips
Kwa sababu ndio chakula ambacho unakuwa na uhakika chanzo chake Ni viazi

Vilivyobakia vyaweza kuwa feki
 
um
etisha mla dona mwenzagu
 
Anajisahaulisha!
Mteja wa Sele Bonge analalama kuhusu dona...wa Dar bana
 
Kupaka midomo piko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi za kipuuzi sana.... Tatizo jf asilimia 80 wakazi wa stupid place dsm...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…