Leo ukimgegeda, kesho yake unapata mkwanja~ (Ushirikina au Karama?)

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,351
Reaction score
7,639
Nimeshajiuliza sana lkn sipati jibu, huyu binti ni mhudumu wa bar, mzuri kishenzi...ila inasemekana ni HIV+....

Yani ukimgegeda leo, kesho yake lazima upate pesa, watu 9 hadi sasa wameshamgegeda na wamepata cash kesho yake!!! utakuta kuna mazingira fulani hivi ambayo yatakufanya upate chapaa...kama ulikua unamdai mtu na hataki kukulipa utakuta anakupigia simu ukachukue ela yako, kama ulicheza michezo ya kubahatisha utakuta umeshinda, au unapigiwa simu tu na mshkaji wako wa karibu anakwambia "mwanangu njo nikutoe kuna deal nimepiga nimeingiza mkwanja wa maana!", au kama ni mwanafunzi wazazi wako wanakukatia mkwanja tu bila kuwaomba!!!

Kuna mzee mmoja ni mtumishi wa Serikali ndo haambiwi hasikii, kamng'ang'ania balaa, daily anavuta mkwanja na vyeo anapandishwa!

Na mm nimeanza kushawishika kumgegeda, kwani condom si zipo? kwanza sio lazima kupata UKIMWI ukimuandaa mwenzako vizuri ili kuepuka michubuko! au mnaniambiaje wana jamvi?

Hivi huyu manzi atakua mshirikina au ana karama tu???
 
imani potofu zinaingia hivi hivi, jiulize mambo ya kipuuzi yanayoaminika kwenye jamii yamekuja vipi? ni kwa staili kama hii ila ujue ni upuuzi mtupu
 
Lishasha bhokene nenda kamgegede halafu baadae uje tena kuomba ushauri.Kwa nini unaendekeza ushirikina?
 
Wanaume sasa tumekuwa endangered species, kila kukicha tunazidi kuadimika.
Kama Serikali isipokuwa makini tutatoweka miaka 20 ijayo kwenye uso wa Dunia na kubakia Wa-kiume!

Au siyo Babu Dark City?
 
Last edited by a moderator:
No research, no right to speak...! Hebu nipe jina lake,simu yake,na anapopatikana nikafanye research then ndo ntaongea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…