Leo ukimgegeda, kesho yake unapata mkwanja~ (Ushirikina au Karama?)

Leo ukimgegeda, kesho yake unapata mkwanja~ (Ushirikina au Karama?)

Hatari iko wazi nawe unaamua kuwenda kuungana na waliotangulia? Pesa itawafikisha wapi vijana wa leo?
 
No research, no right to speak...! Hebu nipe jina lake,simu yake,na anapopatikana nikafanye research then ndo ntaongea..

Nina hakika izraili anakunyemelea!!!lol:yell:
 
wanaume nyinyi?kuna ubaya gani uki work hard?badala ya kumtumia huyo dada?njaa mbaya jamani.yeye anawapanga hana wasiwasi,na nyinyi mnajua.inataka moyo.
 
Angalia asije akakuambia naye umpeleke chooni.

Pia epuka kutembelea nyota ya mwenzio/wenzio, ni hayo tu.
 
Nimeshajiuliza sana lkn sipati jibu, huyu binti ni mhudumu wa bar, mzuri kishenzi...ila inasemekana ni HIV+....

Yani ukimgegeda leo, kesho yake lazima upate pesa, watu 9 hadi sasa wameshamgegeda na wamepata cash kesho yake!!! utakuta kuna mazingira fulani hivi ambayo yatakufanya upate pesa...kama ulikua unamdai mtu na hataki kukulipa utakuta anakupigia simu ukachukue ela yako, kama ulicheza michezo ya kubahatisha utakuta umeshinda, au unapigiwa simu tu na mshkaji wako wa karibu anakwambia "mwanangu njo nikutoe kuna deal nimepiga nimeingiza mkwanja wa maana!", au kama ni mwanafunzi wazazi wako wanakukatia mkwanja tu bila kuwaomba!!!

Kuna mzee mmoja ni mtumishi wa Serikali ndo haambiwi hasikii, kamng'ang'ania balaa, daily anavuta mkwanja na vyeo anapandishwa!

Na mm nimeanza kushawishika kumgegeda, kwani condom si zipo? kwanza sio lazima kupata UKIMWI ukimuandaa mwenzako vizuri ili kuepuka michubuko! au mnaniambiaje wana jamvi?

Hivi huyu manzi atakua mshirikina au ana karama tu???

Wewe bweteka usubiri hela ya KARAMA\USHIRIKINA kwa kugegeda mwathirika badala ya kujituma na kutafuta kipatoo chako kwa njia sahihi! Wabongo tunakufa kwa ujinga wetu!
 
siku zote wanasema daima wajinga ndio waliwao, badala ya kufanya kazi kwa bidii ili upate pesa wengine wanafikilia kupata pesa kirahisi ,hakuna kitu kizuri kinachopatikana kirahisi ishu ni kukaza buti .na huyo msimwite muhudumu wa bar mwite kahaba na kama anajua kwamba wanaomgegeda kesho yake wanapata cash basi bora awape ndugu zake.
 
wanaume nyinyi?kuna ubaya gani uki work hard?badala ya kumtumia huyo dada?njaa mbaya jamani.yeye anawapanga hana wasiwasi,na nyinyi mnajua.inataka moyo.

Nimeshawork hard and i have everything in life...ila kama unavojua dada angu, pesa huwa hazitoshi na ndo mana unaweza ukawa na bilioni lkn wkt unapita njiani ukakuta buku teni tu imeangushwa na bado ukaiokota pamoja na mahela yote uliyonayo, mtazame Bakhressa, ana azam chapati, mara azam nazi, mara maji, mara unga wa ngano, mara vijoti na bado atabuni bidhaa nyingine! pesa haitoshi...

Ila usjali, siwezi kumgegeda bwn hahaha
 
Back
Top Bottom