hao ndo wale wazee, nyumbani wanakula ugali na mchicha, yeye anapita baa kula nyamachoma na ndizi...... kweli uzazi ni wito...
na akirudi home utasikia 'we mwanamke leta chakula hapa'.
hiyo inaitwa chalinze wimaaaaa
hahahaaaa na ole wako umpe ugali na matembele ....loh...ndoa hizi