Leo USD imeshuka, 1 USD=2050 TSH

melchior

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
230
Reaction score
214
Nasikia TSH imeimarika nimeambiwa exchange rate ya leo 1USD=2050TSH, kwani kale kamkopo ka dola mil 800 kamesha patikana? Wahenga walisema ukimwona kobe juu ya mti ujue kawekwa. Siamini kama kuimarika huku ni matokeo ya kuimarika kwa foreign export etc, all in all hongera sana BOT kwa kutupunguzia maumivu
 
Inawezekana jana kuuza ilikua 2100 kununua 2180
 
Kaka iko 2200 mtaa wa uhuru pale Kariakoo
 

Nyoooh !! ni 2,301[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] .[/FONT]
 
Nyoooh !! ni 2,301 .[/QUOTE] Hiyo 2301 wapi?
 
Yani 2050 unashangilia kama zuzu?
Kweli watanzania mnapoteza kumbukumbu,JK akichukuwa nchi si ili kuwa Usd 1 ni Ths 900?Na mwaka jana Si ilikuwa 1600?Tena mwisho wa mwaka,Leo unaruka kama zuzu dolla ipo elfu mbili na point tena unawapongeza BOT badala waachie ofisi,Hii ni laana
 

Serikali imekopa mtaa wa saba ndio maana unaona inashuka deni linabaki kwako na kwa uzao wako woote.
 
Iwe mvua mnasema mafuriko ikiwa jua et njaa...hiv watanzania tukoje??? Kuwen walau na hata chembe ya uzalendo ns kujali juhud zinazofanywa
Au kwa kuwa mlijiandaa iwe kiki na ajenda ya kutokea so mnaona inaanza kukwama?? Yan mahaba CDM niue ysnawatesa sana
 

Hawa watu ni wa kupigwa risasi tu hawana faida kwa nchi.
 
aliye jirani na bureau atupigie picha exchange rate , maana naamini no dolla pekee ndiyo imeimarika...
 
Ujue mwanao hata kama amefail mtihan ile kumuelekeza kwa kumtia moyo ina promote confidence yake na siku nyingine anafanya vxri
Hawa kenge(CDM) wao kwao misamiat ys kutiana moyo hawajawah kufundishwa...kila uchao ni lawama tu huku wakiwa hawatoi waxo mbadala
Walianza kuwa xoezi haliwez kukamilika lkn kwa sasa karibu sehem nyingi wameandikishwa kwa sasa wamekimbilia ohoo tume haiko huru...sijui kujiandikisha na uhuru vinaingilianaje...huko wametoka sasa hiv wamejibanza eti wanaoandikisha wanachagua wa ccm tu...wanasahau wao ndo wenye mbinu chafu za kuxuia watu wasijiandikishe mfano mwanza
Yan unakuta chama kinadai kishike dolla huku hakina wazo mbadala na kila siku ni negativity kwao tu
Kelele ubish ushawish wa maandamano na mawazo has kwao ndo sera kila uchao..kwa stail hii mtasubili sana tena sana
 
Nimeangalia sasa online exchange
Rate Ni 1usd kwa 1280 Tshs. sasa kama
Mtaani imefika 1:2000 basi itakuwa muujiza
 

too little too late!!
 

Mpaka mwezi huu utakapoisha tarajia mmomonyoko wa dola.
Trust me.
 
Karibia tunaifikia shilingi ya Uganda 🔜 soon
 

Attachments

  • 1435398332091.jpg
    38.9 KB · Views: 236
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…