melchior
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 230
- 214
Nasikia TSH imeimarika nimeambiwa exchange rate ya leo 1USD=2050TSH, kwani kale kamkopo ka dola mil 800 kamesha patikana? Wahenga walisema ukimwona kobe juu ya mti ujue kawekwa. Siamini kama kuimarika huku ni matokeo ya kuimarika kwa foreign export etc, all in all hongera sana BOT kwa kutupunguzia maumivu