Waziri wa fedha yuko busy kufuatilia maswala ya unyumba wa Mh. sugu, naibu yko busy kutafuta wadhamini na maarifa yote ya kulikomboa taifa kiuchumi anayo lakini kayaweka kwapani mpaka apewe uras ndio afanye kazi, kwa nn BOT wasi relax? Halafu watu povu linawatoka eti watu wa chadema wanashabikia eti wanalichukulia kisiasa hivi hii nchi inaongozwa na chama gani? Ingekuwa shilingi imeimarika ccm wasingejisifu? Hata huko tunakokwenda kuomba na kuaga kwa Obama ili chama kipate kura wanaangalia kimewaweka wapi ktk masuala yao ya fedha, ccm mnatia aibu hii nchi. Ptyuuuuuuuuuuuu.