Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wahenga wanamisemo mingi sana ya kufundisha, kuonya, kufariji, kukemea na kukupa dira. Miongoni mwa misemo hiyo, Kuna msemo mmoja, "ukiona mwenzio ananyolewa, wewe tia maji".
Msemo huo una maana kubwa sana, pia historia ina utamaduni wa kujirudia.
Siku za karibuni tumeona viongozi wa upinzani eidha wakikimbia nchi, au wakikamatwa baada ya kujaribu kukimbia kuyanusuru maisha yao baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha yao.
Kuna baadhi ya wanachama wa CCM wamekuwa wakiwabeza wapinzani wanaolalamika kutishiwa maisha, wanadhani wao wako salama.
Siku si nyingi zinakuja, Moto na mtifuano mkali utaanza kuwaka ndani ya chama hicho.
Wataanza nao kutekwa, kuuliwa na kutishiwa maisha. Kama kina Kambona na Kassim Hanga walivyokimbia, hii historia inaenda kujirudia.
Hakika ni swala la muda tu.