Leo Wapinzani ndio wanaokimbia nchi; lakini muda mfupi ujao CCM wataanza kukimbia pia

Leo Wapinzani ndio wanaokimbia nchi; lakini muda mfupi ujao CCM wataanza kukimbia pia

KAWAIDA WASALITI WA NCHI HUOGOPA VIVULI VYAO.
MLIOSHIRIKI MBINU ZAKUKAMATA MALI ZA NCHI YETU NJE YA NCHI LAZIMA MUOGOPE VIVULI VYENU.

NANI MNAMKIMBIA KAMA SIO UNAFIKI.
MBOWE YUPO MBONA HAJASEMA KATISHIWA?

MDEE,ZITTO NA WENGINEO WOOTE ISIPOKUWA MWIZI WA MAGARI MSTAAFU LEMA.

NYALANDU ANAJUA ALICHOKIFANYIA NCHI HII NYUMA YA PAZIA.
NDIO MAANA HAWAJIAMINI.
 
Hivi kweli mkuu unaamini Lema anakimbia kwa kutishiwa kuuwawa?
Kwa kipi hasa?
Stress za kuukosa ubunge + madeni + hawakujiandaa kukosa ajira.
Hizo ni timing za kuishi free kwamabeberu.
 
Wanaweza wasipatwe na hayo maswahibu kama watakua ni wale wa zidumu fikra za mwenyekiti...



Cc: mahondaw
 
Ni kama kula nyama ya mtu, ukila nyama ya mtu lazima utaendelea kula tu....!

Alisema wanaesema wanamuenzi!
 
Back
Top Bottom