Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kuna mwanahabari alielezwa hili jambo kuwa japokuwa kuna mihimili mitatu ya dola yaani Bunge, Mahakama na serikali kuu. Mhimili mkoja umejisimika zaidi. Maana umejichimbia zaidi na kusimika mizizi.
Leo bila ya kumug'unya maneno tumesikia kwa masikio yetu na macho yetu. Mkuu wa mhimili wa Bunge amenyoosha mikono juu.
My take; Tusimshambulie bure Spika Ndugai maana mhimili anaouongoza haujasimika mizizi.