Tofauti ni kwamba taifa sio sawa na familiaHata kwenye nyumba mkizaliwa watatu, afu ww ndio ukawa unanunua chakula, mkaa, mboga na mafuta kila siku, lazima wengine watakuheshimu tu hakuna namna.
Kuna mambo mengi Y hovyo aliyafanya Magufuli kwa hulka ya UJUHA na UFEDHULI wake kama taifa itatuchukua miaka mingi sana kuyaweka sawa.Kuna mwanahabari alielezwa hili jambo kuwa japokuwa kuna mihimili mitatu ya dola yaani Bunge, Mahakama na serikali kuu. Mhimili mkoja umejisimika zaidi. Maana umejichimbia zaidi na kusimika mizizi.
Leo bila ya kumug'unya maneno tumesikia kwa masikio yetu na macho yetu. Mkuu wa mhimili wa Bunge amenyoosha mikono juu.
My take; Tusimshambulie bure Spika Ndugai maana mhimili anaouongoza haujasimika mizizi.
Tunaposema tunataka katiba mpya mnajisheshedua matako juu kama hamjui...Kuna mwanahabari alielezwa hili jambo kuwa japokuwa kuna mihimili mitatu ya dola yaani Bunge, Mahakama na serikali kuu. Mhimili mkoja umejisimika zaidi. Maana umejichimbia zaidi na kusimika mizizi.
Leo bila ya kumug'unya maneno tumesikia kwa masikio yetu na macho yetu. Mkuu wa mhimili wa Bunge amenyoosha mikono juu.
My take; Tusimshambulie bure Spika Ndugai maana mhimili anaouongoza haujasimika mizizi.
Tofauti ni kwamba mmoja ni mkuu wa nchi nzima, amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama, mkuu wa serikali, dereva wa dira ya nchi, mwenye mamlaka ya kusimamia malipo ya wanajeshi wa vyeo vyote, polisi wa vyeo vyote, viongozi wa serikali, wafanyakazi wa umma vyeo vya juu na chini, hata hiyo mihimili mingine miwili inapata mshahara kupitia serikali inayoongozwa na huo mhimili mkubwa. Hao wengine ni wakuu wa mihimili yao tu hawana cha zaidi.Tofauti ni kwamba taifa sio sawa na familia
Kuna mambo mengi Y hovyo aliyafanya Magufuli kwa hulka ya UJUHA na UFEDHULI wake kama taifa itatuchukua miaka mingi sana kuyaweka sawa.
Hii separation of power checks and balance nilikuwepo japo kinadharia. Wenzake walienda mayo hivyohivyo ilivyo.
Yye kwa ufedhuli wake akatamka kabisa kwamba kuna uliojichimbia zaid KISA ndo unalipa?
I wish I could be IGP ???
Kamteua sirro ili amshambulie TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISU
Hawa wanafiki ndiyo wametufikisha hapa maana wanajua mihimili ikiwa sawa keki ya taifa kila mtu ataionjaKuna mwanahabari alielezwa hili jambo kuwa japokuwa kuna mihimili mitatu ya dola yaani Bunge, Mahakama na serikali kuu. Mhimili mkoja umejisimika zaidi. Maana umejichimbia zaidi na kusimika mizizi.