Utakumbuka wakati wa mwinyi zahera hapo zamani Hawa stand waliharibu unbeaten run yetu ya mechi kibao bila kufungwa tulipokutana nao pale kwenye uwanja wao kupitia kwa Jakobo Massawe wakamfunga kipa wetu mahiri kindoki huku wakimzuia forward jitu mwitu msitu Molinga Sasa Leo stand wamekuja na record hiyo wakiamini wanaenda kutufanyia kitu mbaya ila hatutaruhusu