Leo yanga watajuta kuwashitaki waamuzi CAF.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Waamuzi hawapendi sana kukosolewa na kushitakiwa. Alifanya hivyo sana Mourinho Chelsea sema alikuwa na kikosi bora sana na alizikabili hujuma.

Ila Yanga leo watajua hawajui
 
Asante mtabiri wa Taifa.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hahahaha hii sio tff hii ni caf
Na yanga akigusa robo ni moja kwa moja fainali ya caf cl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…