Chances and Time tuπ€£ Unabahati ama umebahatisha?
Lloyd Munroe unamaana gani hebu fafanua kwa kiswahili!Chances and Time tu
πππππππ€£π€£π€£Duuuh, hapo "gather your confidence, swallow your pride, invite him to your house for dinner" by Harvey Specter
sawa babyKwanza kua maliza chuo.
Mambo ya "nataka sitaki" a.k.a "kisebusebu" sina kabisa. Nimenyooka hivi.Hahahah Sasa mbona unakubali harakaharaka ivyo
Unatakiwa ukaze
Woi
Mbona hujanitongozaTunaweza kuwatongoza[emoji38][emoji38][emoji38]
πππππpole mwayaWanawake waliniharibia ujana wangu hawafai kabisa
Fursa na muda tu bahati huwa haipo.Lloyd Munroe unamaana gani hebu fafanua kwa kiswahili!
We pokerShusha vocal hizo!
Kama vipi njoo ujifunzie kwangu![emoji86][emoji86][emoji86][emoji85][emoji85][emoji85][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu vp leo wamekufata inbobo au unasubiri wa mnyaziFursa na muda tu bahati huwa haipo.
Muda na mabadiliko havizuiliki hvyo Nafasi au fursa hujitokeza.
Me nasubiri TU najua muda waja Kuna bwege ataachwa tu. Mnyazi yupo kijana.ππ
πHehe aah Mnyaazi Ni mwema siku zote kijana wangu. Mwaaa Kama mvua unaambiwa πππ€Mkuu vp leo wamekufata inbobo au unasubiri wa mnyazi
Kaka uskubali akupite hivi hivi huyo. Akutoe vyombo kwanza π€Hakuna majini shusha vocal anza na mimi!
Sio pesa tu dada π€Sasa tukitongoza na pesa tu awapa au mtatupea nyie
Lloyd Munroe π€£ mpaka uwakute huko kwa mnyazi tafuna wa hpa hapaπHehe aah Mnyaazi Ni mwema siku zote kijana wangu. Mwaaa Kama mvua unaambiwa πππ€
Nyie π
Tunaogopa kukutongoza mmh! Tutanyimwa kodiKama huna chura usinitongozeπππ