Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Hahahah Sasa mbona unakubali harakaharaka ivyo
Unatakiwa ukaze
Woi
Mambo ya "nataka sitaki" a.k.a "kisebusebu" sina kabisa. Nimenyooka hivi.
Sema basi babe, nishakuelewa, na hapa niko tayaritayari. Jibu nishatoa, ni wewe tu sasa babe.
 
Lloyd Munroe unamaana gani hebu fafanua kwa kiswahili!
Fursa na muda tu bahati huwa haipo.
Muda na mabadiliko havizuiliki hvyo Nafasi au fursa hujitokeza.

Me nasubiri TU najua muda waja Kuna bwege ataachwa tu. Mnyazi yupo kijana.😆😆
 
Fursa na muda tu bahati huwa haipo.
Muda na mabadiliko havizuiliki hvyo Nafasi au fursa hujitokeza.

Me nasubiri TU najua muda waja Kuna bwege ataachwa tu. Mnyazi yupo kijana.😆😆
Mkuu vp leo wamekufata inbobo au unasubiri wa mnyazi
 
Back
Top Bottom