Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Kazi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa mwanamke mwenzangu,handsomeboy wa ukoo huna baya wala hujui kununa njoo huku nakwita nimechoka kukuzoom kwenye glass
Huwezi amini hiyo pua yako inanidatishaga😉
Woooyo kumbe na me naweza ehhNimecheka sana huu mtongozo. 😂😂
Hapo mwanadamu hachomoki.
Unforgettable madini !
-Kaveli-
Lovelovie nakusalimia popote ulipo.
Woooyo kumbe na me naweza ehh
Sweety upo wapi??🤗🤗🤗 nikuletee zawadi kwanzaaa.. baby
Ongea na mimi mremboNilitaka kukutongoza ila niliona nitapigwa vizinga na group yako
Nipo hotelin baby 😊😊Sweety upo wapi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Ex wangu jamaniii, hata simtongozii, namuambia tyuuh "njoo tupashe makabichii"
Wapi ??Nipo hotelin baby 😊😊
😅😅😅😅 ... pale ulinipia nifikiea hapo kupumzikaWapi ??