Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Mtoto wa mwanamke mwenzangu,handsomeboy wa ukoo huna baya wala hujui kununa njoo huku nakwita nimechoka kukuzoom kwenye glass
Huwezi amini hiyo pua yako inanidatishagaπ
Woooyo kumbe na me naweza ehhNimecheka sana huu mtongozo. ππ
Hapo mwanadamu hachomoki.
Unforgettable madini !
-Kaveli-
Lovelovie nakusalimia popote ulipo.
Woooyo kumbe na me naweza ehh
Sweety upo wapi??π€π€π€ nikuletee zawadi kwanzaaa.. baby
Ongea na mimi mremboNilitaka kukutongoza ila niliona nitapigwa vizinga na group yako
Nipo hotelin baby ππSweety upo wapi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Ex wangu jamaniii, hata simtongozii, namuambia tyuuh "njoo tupashe makabichii"
Wapi ??Nipo hotelin baby ππ
π π π π ... pale ulinipia nifikiea hapo kupumzikaWapi ??