Ebu jaribu auntKutongoza ni kugumu nyie😔
Anzia hapa kwangu😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu jaribu auntKutongoza ni kugumu nyie😔
Nitag sasa auntTangu umekuwa rafikiyangu,
Wewe ndiye sababu ya kuamka na tabasamu,mara nying nacheka hata wakati wengine wanatarajia nilie. Kwa sababu kuna kitu cha pekee juu ya upendo wako ambacho kinanifanya nijisikie furaha
unajaza kila sehemu ya maisha yangu Kila ninapoona ujumbewako hua nahis sikuyang imekamilika
mbna maneno yameisha Sasa😂😂😂😂
😂😂😂Ila auntNitag sasa aunt
Hata kama hujanitag mimi nimeshakubali😉
safi sana.umethubutu,umewezaEnwei, ngoja nijaribu..!!
Kila nikiiona comment yako mahali hapa naishia kutabasamu, sababu zaidi ya yote huwa ninaona kujiamini kwako ndani yake, cha kushangaza ni kuwa mapigo ya moyo wangu hubadilika na kudunda kwa kasi nilionapo tu jina lako, hujikuta natabasamu na kucheka hata kwa vitu vidogo vitokavyo kwako na visivyo na maana kabisa,
Lengo hasa la kuyaandika yote haya ni kutaka kukueleza ni jinsi gani wautesa mtima wangu, ninahisi kuvutiwa na kila kitu kuhusu wewe, hata avatar isiyo yako halisi inanifanya niachie tabasamu mwanana,
Natamani niendelee kukuonesha ni namna gani nimebarikiwa kukutana na wewe mahala hapa, ila hapana muda si rafiki sana upande wetu, hivyo naomba tafadhali uubariki moyo wangu kwa kunikubalia niwe wako, niamini Mimi, kunikubali ni kati ya maamuzi machache hutokaa ujutie kuyafanya kamwe, ...... please be mine..!
(Huku nakutazama machoni kwa macho ya maqhaba, ukichomoa niite andazi niko nimekaa pale)
imekaa vzrTangu umekuwa rafikiyangu,
Wewe ndiye sababu ya kuamka na tabasamu,mara nying nacheka hata wakati wengine wanatarajia nilie. Kwa sababu kuna kitu cha pekee juu ya upendo wako ambacho kinanifanya nijisikie furaha
unajaza kila sehemu ya maisha yangu Kila ninapoona ujumbewako hua nahis sikuyang imekamilika
mbna maneno yameisha Sasa😂😂😂😂
Hata kwa hayo machache nimekuelewa bby wewe ni kila kwangu usizungumze sana utachoka swt haya njoo pumzika umefanya kazi kubwa [emoji7]Tangu umekuwa rafikiyangu,
Wewe ndiye sababu ya kuamka na tabasamu,mara nying nacheka hata wakati wengine wanatarajia nilie. Kwa sababu kuna kitu cha pekee juu ya upendo wako ambacho kinanifanya nijisikie furaha
unajaza kila sehemu ya maisha yangu Kila ninapoona ujumbewako hua nahis sikuyang imekamilika
mbna maneno yameisha Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe nimejitahidi 😄imekaa vzr
ujumbe umemfikia mlengwaUmejaribu aisee kwahyo saundi kuna mtu keshalegea huko.
uko vzr,shem lzm akubali hapoKumbe nimejitahidi 😄
😄Kazi kubwa ya kuandika tongozo lenyew halijakamilikaHata kwa hayo machache nimekuelewa bby wewe ni kila kwangu usizungumze sana utachoka swt haya njoo pumzika umefanya kazi kubwa [emoji7]
Na akikataa namfata nyumban kwao😂uko vzr,shem lzm akubali hapo
hahahahaha.anaanzaje kukakataaNa akikataa namfata nyumban kwao😂
Sasa siunasauti nzuri mi nifanyaje[emoji39][emoji1]Kazi kubwa ya kuandika tongozo lenyew halijakamilika
Nizungushe zungushe kidogo🤣Sasa siunasauti nzuri mi nifanyaje[emoji39]
hahahahahahahaNizungushe zungushe kidogo🤣
Aisee uko vizuriii, and Tuzo iende kwa Carleen Kwa hii vocal umeshinda 😂😂Enwei, ngoja nijaribu..!!
Kila nikiiona comment yako mahali hapa naishia kutabasamu, sababu zaidi ya yote huwa ninaona kujiamini kwako ndani yake, cha kushangaza ni kuwa mapigo ya moyo wangu hubadilika na kudunda kwa kasi nilionapo tu jina lako, hujikuta natabasamu na kucheka hata kwa vitu vidogo vitokavyo kwako na visivyo na maana kabisa,
Lengo hasa la kuyaandika yote haya ni kutaka kukueleza ni jinsi gani wautesa mtima wangu, ninahisi kuvutiwa na kila kitu kuhusu wewe, hata avatar isiyo yako halisi inanifanya niachie tabasamu mwanana,
Natamani niendelee kukuonesha ni namna gani nimebarikiwa kukutana na wewe mahala hapa, ila hapana muda si rafiki sana upande wetu, hivyo naomba tafadhali uubariki moyo wangu kwa kunikubalia niwe wako, niamini Mimi, kunikubali ni kati ya maamuzi machache hutokaa ujutie kuyafanya kamwe, ...... please be mine..!
(Huku nakutazama machoni kwa macho ya maqhaba, ukichomoa niite andazi niko nimekaa pale)
Sasa anakubalije kirahis hivihahahahahahaha
Si ndo hapohahahahaha.anaanzaje kukakataa
hahahahaha,mdada katema sound ya mbna.,tunasubiri zamu yakoAisee uko vizuriii, and Tuzo iende kwa Carleen Kwa hii vocal umeshinda 😂😂
uko vzrSi ndo hapo