Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Babe si unajua venye wadada tunatongoza?
Sisi tunapita tunawatingishia wowowo na kujichekesha chekesha halafu nyie ndio mnamalizia.
Kumbee
Sasa leo utanieleza huko uliposafiri hujamtingishia mtu?
Maana ulivyojaliwa nakonda moyo.
 
Back
Top Bottom