Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Ccy eeh nambie nikuimbie wimbo gani mrahisi rahisi😂😂😂
Mie huyu hata nyimbo zenyewe nazijua sasa 🤠🤠😁😁😁!!
Niimbie Falling wa Nandy sijui hata nimedondoka wapi hata 🤠🤠🤠!
 
Back
Top Bottom