Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

Eeeh kwaiyo unataka cha bure bure daaah.

"kula uliwe" in JK's voice πŸ˜€ vitu vizuri haviji bure bure.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ntaliwa mwakaniπŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Mim aiseh sitaki zawadi zako tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Poker sitaki zawadi za huyo mukaka
Amesema vitu vidogo kama vocha hashindwi kukupa. Kwahyo anataka guarantee ili asije poteza muda wake kwako.
 
Back
Top Bottom