Mkuu aliekudanganya nani?
Nimepitia website nyingi nyinig sana za michezo africa na blogs za nchi shindani,amini usiamini Simba ndo tishio katika timu zote!!
Mpaka sasa,izo timu kubwa (Mazembe,Esperance na Wydad) wana hofu ya kupangwa na Simba kwasababu zifuatazo
Kamfunga mwarabu JS Saoura
Kamfunga mwanafainali wa CAF CL Al Ahly
Kamfunga Bingwa wa shirikisho AS Vita
Kamwe usije ukadhani kuna timu inaomba ipangiwe na Simba, ayo matokeo hapo juu acha sisi wabongo tusiojua mpira tuendelee kuyachukulia poa.Walio kwenye competition yanawatisha kuliko tunavodhania.
Kama info zako unategemea shaffih dauda,kwa haji manara,udaku special na instagram,basi hautaweza kunielewa
Pitia nyuzi na blogs mbalimbali za africa za michezo ndo utanielewa