squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Nyie ndala chagueni mnataka kushabikia ipi?Kwakuwa washindi wa pili wa makundi (kama alivyokuwa Simba) watapangwa na waliokuwa washindi wa kwanza, Simba hana jinsi Zaidi ya kusubiri mojawapo kati ya mechi hizi za robo fainali. Leo ndiyo leo:
Simba v TP Mazembe (DR Congo-Bingwa mara tano wa mashindano haya mara ya mwisho ikiwa ni mwaka 2015 )?
Simba v Wydad Casablanca (Morocco-Mabingwa wa 2017 Klabu Bingwa Afrika)?
Simba v Esperance (Tunisia-Bingwa mtetezi wa Klabu Bingwa Afrika)?
Watani mchague kabisa na mjiandae kisaikolojia kushangilia au kutukimbia!😀😀😀😛
Mkuu aliekudanganya nani?
Nimepitia website nyingi nyinig sana za michezo africa na blogs za nchi shindani,amini usiamini Simba ndo tishio katika timu zote!!
Mpaka sasa,izo timu kubwa (Mazembe,Esperance na Wydad) wana hofu ya kupangwa na Simba kwasababu zifuatazo
Kamfunga mwarabu JS Saoura
Kamfunga mwanafainali wa CAF CL Al Ahly
Kamfunga Bingwa wa shirikisho AS Vita
Kamwe usije ukadhani kuna timu inaomba ipangiwe na Simba, ayo matokeo hapo juu acha sisi wabongo tusiojua mpira tuendelee kuyachukulia poa.Walio kwenye competition yanawatisha kuliko tunavodhania.
Kama info zako unategemea shaffih dauda,kwa haji manara,udaku special na instagram,basi hautaweza kunielewa
Pitia nyuzi na blogs mbalimbali za africa za michezo ndo utanielewa
Yani kwako ushinde moja kwao upigwe tano unajisifia umemtoa.... Haya sio makundi mkuu
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk