Leo zingekuwa zile beki zao Taifa Stars angefungwa

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Nimeangalia mechi ya Uganda na Taifa Stars timu imecheza vizuri sana hasa eneo la kati. Dickson Job leo alikuwa anacheza kwa kurelax.

~ Muzamir well done japo una pass za nyuma na uchelewa kupoteza mpira ila kwenye kukaba uko vizuri.

~ Mudathir well performance big brain pale kati palitulia

~ Ibrahim Bacca hazina ya taifa leo ulikuwa unakaba kwa akiri na maarifa zaidi kuweka lango la Tanzania salama.

~ Manura well done Air Tanzania.

~ Msuva 🙌.

Kocha uliona mbali kuziacha zile beki zao.
 
Mimi naona kulikuwa na upungufu wa kiungo mchezeshaji kama sure boy hivi. Jamaa huwa anatoa pasi na aneenda kuiomba, tofauti na hao viungo wa jana wenyewe walikuwa ni kukaba tu!
 
Nimeangalia mechi ya Uganda na Taifa Stars timu imecheza vizuri sana hasa eneo la kati. Dickson Job leo alikuwa anacheza kwa kurelax.

~ Muzamir well done japo una pass za nyuma na uchelewa kupoteza mpira ila kwenye kukaba uko vizuri.

~ Mudathir well performance big brain pale kati palitulia

~ Ibrahim Bacca hazina ya taifa leo ulikuwa unakaba kwa akiri na maarifa zaidi kuweka lango la Tanzania salama.

~ Manura well done Air Tanzania.

~ Msuva [emoji119].

Kocha uliona mbali kuziacha zile beki zao.
Zile mbigili zingetuangusha
 
Wakati beki namba moja ni wakwao
 
Back
Top Bottom