Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Zile mbigili zingetuangushaNimeangalia mechi ya Uganda na Taifa Stars timu imecheza vizuri sana hasa eneo la kati. Dickson Job leo alikuwa anacheza kwa kurelax.
~ Muzamir well done japo una pass za nyuma na uchelewa kupoteza mpira ila kwenye kukaba uko vizuri.
~ Mudathir well performance big brain pale kati palitulia
~ Ibrahim Bacca hazina ya taifa leo ulikuwa unakaba kwa akiri na maarifa zaidi kuweka lango la Tanzania salama.
~ Manura well done Air Tanzania.
~ Msuva [emoji119].
Kocha uliona mbali kuziacha zile beki zao.
Wakati beki namba moja ni wakwaoNimeangalia mechi ya Uganda na Taifa Stars timu imecheza vizuri sana hasa eneo la kati. Dickson Job leo alikuwa anacheza kwa kurelax.

~ Msuva 🙌.
Kocha uliona mbali kuziacha zile beki zao.