Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Endelea kutafuta ajira.Mfumo utamkataa. Epl ligi ngumu alafu man u anacheza counter na pressing wakati messi umri ushaenda uko psg kwenyewe kila siku anatulizwa na watoto wadogo tu hata world cup argentina alikua na spirit ya timu pamoja na bahati tu ya kupata penati ila messi individually hakucheza mpira wowote wa kutishia amani.
Mwendawazimu kabisa.Wewe ukiitwa mwehu utakataa?
Mfumo utamkataa. Epl ligi ngumu alafu man u anacheza counter na pressing wakati messi umri ushaenda uko psg kwenyewe kila siku anatulizwa na watoto wadogo tu hata world cup argentina alikua na spirit ya timu pamoja na bahati tu ya kupata penati ila messi individually hakucheza mpira wowote wa kutishia amani.
Anaota huyo, kipindi Messi anawika Spain hakuna timu yoyote ya EPL ilokuwa juu ya Barca wala Top 3 za La Liga. Spain wameburuza mno ulaya, trophies za UEFA na EUROPA walizibeba kila walipotaka.Umeanza lini kufuatilia mpira? Umemcheki vizuri kombe la dunia? Au ulikua unasikiliza redioni!
Epl kama ni ligi ngumu iweje wakina aguero, van persie, rooney, henry, crespo, Beckham, franco zola waliweza! Kwa messi mchezaji bora wa dunia ashindwe! Au umezaliwa miaka ya 2000 huwajui niliowataja!!
NakaziaKuna viumbe walitamani sana Argentina isitwae kombe la dunia,, sasa wamebeba.
World cup u20 [emoji471]
Copa America [emoji471] Argentina × Brazil
Finallisima[emoji471] Argentina × Italy
World cup [emoji471] Argentina × France
Endeleeni kuteseka na kuùmia moyoni, ila mnajua Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea.
Anaota huyo, kipindi Messi anawika Spain hakuna timu yoyote ya EPL ilokuwa juu ya Barca wala Top 3 za La Liga. Spain wameburuza mno ulaya, trophies za UEFA na EUROPA walizibeba kila walipotaka.
EPL ikiwa na team zilizopeak miaka hiyo, Chelsea, Man City, Tottenham Hotspur, Arsenal kidogo, Messi ameshazichafua saaaana. Hakuna mtu aliyezipasua team za EPL kama Messi.
Wewe ndo mpumbavu kabisa ujui kitu nyie watu wenye ugonjwa messi na cr7 ifike hatua mkubali hao watu wenu sasa hivi wameisha wanategemea team mates wao wawabebe ndio maana cr7 anastruggle kwa sababu timu anazopita hakuna wachezaji wwnye viwango vya modric au krose kumpa huduma yeye abaki kumalizia tu uyo messi anabebwa tu utawala wa psg pale ufaransa ila yeye mwenyewe binafsi kuibeba timu uwezo huo sasa hana kwa sababu umri ushaendaNext time kama ufahamu kitu ni bora upige kimya. Umeandika pumba tupu[emoji706][emoji706]
Sawa dada anguEndelea kutafuta ajira.
Kuwa mwelewa wewe nimesaema kwa age ya messi sasa hivi epl itamshinds.. hao wakina zola wote nimewaona wamecheza bado wapo 20+ uwezi ukawafananisha na messi ambaye yupo 36 sasa hivi embu notajie mchezaji mmoja tu mwenye 35+ na anavuma pale epl.. nyie watu mbona ni wagumu kuelewa messi ni mmoja ya wachezaji bora wa muda wote kuwahi kutokea duniani lakini zama zinapita kwa sasa ashaishaUmeanza lini kufuatilia mpira? Umemcheki vizuri kombe la dunia? Au ulikua unasikiliza redioni!
Epl kama ni ligi ngumu iweje wakina aguero, van persie, rooney, henry, crespo, Beckham, franco zola waliweza! Kwa messi mchezaji bora wa dunia ashindwe! Au umezaliwa miaka ya 2000 huwajui niliowataja!!
Afadhali ametokea mtu kaniaelewa hawa wafuasi wa messi na ronaldo hawataki kukubali kwamba watu wao sasa hivi wameishaHao uliowataja wamecheza katika umri wa maika 35+?
Nyie wangese eleweni basi hakuna mtu aliepinga ubora wa messi wala rekodi zake alizoweka kinachomaanishwa ni kwamba kwa sasa hivi umri tayari ushamtupa messi aliwanyanyasa man utd fainal za uefa mbili, aliewanyanyasa arsenal na vigogo wote ulaya sio messi wa leo hivi akilini zenu zipo matakoni au mbona wagumu sana kuelewaAnaota huyo, kipindi Messi anawika Spain hakuna timu yoyote ya EPL ilokuwa juu ya Barca wala Top 3 za La Liga. Spain wameburuza mno ulaya, trophies za UEFA na EUROPA walizibeba kila walipotaka.
EPL ikiwa na team zilizopeak miaka hiyo, Chelsea, Man City, Tottenham Hotspur, Arsenal kidogo, Messi ameshazichafua saaaana. Hakuna mtu aliyezipasua team za EPL kama Messi.
Subiri utakavyomkuta cty kwa pepMfumo utamkataa. Epl ligi ngumu alafu man u anacheza counter na pressing wakati messi umri ushaenda uko psg kwenyewe kila siku anatulizwa na watoto wadogo tu hata world cup argentina alikua na spirit ya timu pamoja na bahati tu ya kupata penati ila messi individually hakucheza mpira wowote wa kutishia amani.
Lini ushawahi kuona pep anasajiri mchezaji yupo 35+Subiri utakavyomkuta cty kwa pep
Lini ushawahi kuona pep anasajiri mchezaji yupo 35+
We mzee una mihemko sana., swali rahisi tu maelezo mareeefu world cup wote tumeangalia tuzo alizochukua na rekodi zote alizoweka tunazijua.. umeulizwa lini pep kasajiri mchezaji mwenye 35+? Ilikua ni suala la kutaka jina la mchezaji tuHumpendi ila unamkubali,,,
Messi collected the Golden Ball award as the best player of the tournament moments before lifting the FIFA World Cup 2022 trophy in Qatar. Kylian Mbappe and Luka Modric were among his challengers. Lionel Messi has won the Golden Ball award, presented to the best player of the FIFA World Cup 2022 in Qatar.18 Dec 2022
Hao vijana wameshindwa nini kumdhibiti mwenye 35!!!!
walimu wako walipata tabu sana kukueleweshaHumpendi ila unamkubali,,,
Messi collected the Golden Ball award as the best player of the tournament moments before lifting the FIFA World Cup 2022 trophy in Qatar. Kylian Mbappe and Luka Modric were among his challengers. Lionel Messi has won the Golden Ball award, presented to the best player of the FIFA World Cup 2022 in Qatar.18 Dec 2022
Hao vijana wameshindwa nini kumdhibiti mwenye 35!!!!
walimu wako walipata tabu sana kukuelewesha
We mzee una mihemko sana., swali rahisi tu maelezo mareeefu world cup wote tumeangalia tuzo alizochukua na rekodi zote alizoweka tunazijua.. umeulizwa lini pep kasajiri mchezaji mwenye 35+? Ilikua ni suala la kutaka jina la mchezaji tu
Kwamba usajiri wa wachezaji haijalishi umri? Basi ili tusipoteze muda tufanye umeshindaKusajiri mchezaji haijalishi umri, umri ni namba tu, hapa tunachoangalia ni kipaji endelevu. Messi mpaka sasa tunavyoongea anakiwasha, refer world cup halafu compare na watoto utapata jibu.
Pia naomba unitajie mchezaji aliedumu kwenye ubora wake kwa zaidi ya ten years!!