Leonel Messi kukataa mkataba mpya kutokana na club kuendeshwa kienyeji. Ataka kwenda Barcelona au Manchester

Kuna viumbe walitamani sana Argentina isitwae kombe la dunia,, sasa wamebeba.

World cup u20 🏆
Copa America 🏆 Argentina × Brazil
Finallisima🏆 Argentina × Italy
World cup 🏆 Argentina × France

Endeleeni kuteseka na kuùmia moyoni, ila mnajua Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea.
 
Mfumo utamkataa. Epl ligi ngumu alafu man u anacheza counter na pressing wakati messi umri ushaenda uko psg kwenyewe kila siku anatulizwa na watoto wadogo tu hata world cup argentina alikua na spirit ya timu pamoja na bahati tu ya kupata penati ila messi individually hakucheza mpira wowote wa kutishia amani.
Endelea kutafuta ajira.
 
Next time kama ufahamu kitu ni bora upige kimya. Umeandika pumba tupu[emoji706][emoji706]
 
Umeanza lini kufuatilia mpira? Umemcheki vizuri kombe la dunia? Au ulikua unasikiliza redioni!

Epl kama ni ligi ngumu iweje wakina aguero, van persie, rooney, henry, crespo, Beckham, franco zola waliweza! Kwa messi mchezaji bora wa dunia ashindwe! Au umezaliwa miaka ya 2000 huwajui niliowataja!!
Anaota huyo, kipindi Messi anawika Spain hakuna timu yoyote ya EPL ilokuwa juu ya Barca wala Top 3 za La Liga. Spain wameburuza mno ulaya, trophies za UEFA na EUROPA walizibeba kila walipotaka.

EPL ikiwa na team zilizopeak miaka hiyo, Chelsea, Man City, Tottenham Hotspur, Arsenal kidogo, Messi ameshazichafua saaaana. Hakuna mtu aliyezipasua team za EPL kama Messi.
 
Kuna viumbe walitamani sana Argentina isitwae kombe la dunia,, sasa wamebeba.

World cup u20 [emoji471]
Copa America [emoji471] Argentina × Brazil
Finallisima[emoji471] Argentina × Italy
World cup [emoji471] Argentina × France

Endeleeni kuteseka na kuùmia moyoni, ila mnajua Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea.
Nakazia
 
Anaota huyo, kipindi Messi anawika Spain hakuna timu yoyote ya EPL ilokuwa juu ya Barca wala Top 3 za La Liga. Spain wameburuza mno ulaya, trophies za UEFA na EUROPA walizibeba kila walipotaka.

EPL ikiwa na team zilizopeak miaka hiyo, Chelsea, Man City, Tottenham Hotspur, Arsenal kidogo, Messi ameshazichafua saaaana. Hakuna mtu aliyezipasua team za EPL kama Messi.

Wanajitoa ufahamu
 
Next time kama ufahamu kitu ni bora upige kimya. Umeandika pumba tupu[emoji706][emoji706]
Wewe ndo mpumbavu kabisa ujui kitu nyie watu wenye ugonjwa messi na cr7 ifike hatua mkubali hao watu wenu sasa hivi wameisha wanategemea team mates wao wawabebe ndio maana cr7 anastruggle kwa sababu timu anazopita hakuna wachezaji wwnye viwango vya modric au krose kumpa huduma yeye abaki kumalizia tu uyo messi anabebwa tu utawala wa psg pale ufaransa ila yeye mwenyewe binafsi kuibeba timu uwezo huo sasa hana kwa sababu umri ushaenda
 
Umeanza lini kufuatilia mpira? Umemcheki vizuri kombe la dunia? Au ulikua unasikiliza redioni!

Epl kama ni ligi ngumu iweje wakina aguero, van persie, rooney, henry, crespo, Beckham, franco zola waliweza! Kwa messi mchezaji bora wa dunia ashindwe! Au umezaliwa miaka ya 2000 huwajui niliowataja!!
Kuwa mwelewa wewe nimesaema kwa age ya messi sasa hivi epl itamshinds.. hao wakina zola wote nimewaona wamecheza bado wapo 20+ uwezi ukawafananisha na messi ambaye yupo 36 sasa hivi embu notajie mchezaji mmoja tu mwenye 35+ na anavuma pale epl.. nyie watu mbona ni wagumu kuelewa messi ni mmoja ya wachezaji bora wa muda wote kuwahi kutokea duniani lakini zama zinapita kwa sasa ashaisha
 
Anaota huyo, kipindi Messi anawika Spain hakuna timu yoyote ya EPL ilokuwa juu ya Barca wala Top 3 za La Liga. Spain wameburuza mno ulaya, trophies za UEFA na EUROPA walizibeba kila walipotaka.

EPL ikiwa na team zilizopeak miaka hiyo, Chelsea, Man City, Tottenham Hotspur, Arsenal kidogo, Messi ameshazichafua saaaana. Hakuna mtu aliyezipasua team za EPL kama Messi.
Nyie wangese eleweni basi hakuna mtu aliepinga ubora wa messi wala rekodi zake alizoweka kinachomaanishwa ni kwamba kwa sasa hivi umri tayari ushamtupa messi aliwanyanyasa man utd fainal za uefa mbili, aliewanyanyasa arsenal na vigogo wote ulaya sio messi wa leo hivi akilini zenu zipo matakoni au mbona wagumu sana kuelewa
 
Mfumo utamkataa. Epl ligi ngumu alafu man u anacheza counter na pressing wakati messi umri ushaenda uko psg kwenyewe kila siku anatulizwa na watoto wadogo tu hata world cup argentina alikua na spirit ya timu pamoja na bahati tu ya kupata penati ila messi individually hakucheza mpira wowote wa kutishia amani.
Subiri utakavyomkuta cty kwa pep
 
Lini ushawahi kuona pep anasajiri mchezaji yupo 35+

Humpendi ila unamkubali,,,

Messi collected the Golden Ball award as the best player of the tournament moments before lifting the FIFA World Cup 2022 trophy in Qatar. Kylian Mbappe and Luka Modric were among his challengers. Lionel Messi has won the Golden Ball award, presented to the best player of the FIFA World Cup 2022 in Qatar.18 Dec 2022

Hao vijana wameshindwa nini kumdhibiti mwenye 35!!!!
 
We mzee una mihemko sana., swali rahisi tu maelezo mareeefu world cup wote tumeangalia tuzo alizochukua na rekodi zote alizoweka tunazijua.. umeulizwa lini pep kasajiri mchezaji mwenye 35+? Ilikua ni suala la kutaka jina la mchezaji tu
 
walimu wako walipata tabu sana kukuelewesha
 
We mzee una mihemko sana., swali rahisi tu maelezo mareeefu world cup wote tumeangalia tuzo alizochukua na rekodi zote alizoweka tunazijua.. umeulizwa lini pep kasajiri mchezaji mwenye 35+? Ilikua ni suala la kutaka jina la mchezaji tu

Kusajiri mchezaji haijalishi umri, umri ni namba tu, hapa tunachoangalia ni kipaji endelevu. Messi mpaka sasa tunavyoongea anakiwasha, refer world cup halafu compare na watoto utapata jibu.

Pia naomba unitajie mchezaji aliedumu kwenye ubora wake kwa zaidi ya ten years!!
 
Kwamba usajiri wa wachezaji haijalishi umri? Basi ili tusipoteze muda tufanye umeshinda
 
Back
Top Bottom