Leroy Sane wa Manchester city akumbuka maisha yake Tanzania, adai kumiss uwanja wa bandari

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656

Winga machachari wa ujerumani na klabu ya Manchester City Leroy Sane amewashangaza wengi baada ya kuitaja Tanzania alipofanya mazungumzo na jarida la michezo la Kicker sportmagazin.
Sane pamoja na mambo mengine mengi aliyoongea na gazeti hilo alitaja maisha aliyoishi Tanzania wakati baba yake akiifua timu ya Zanzibar,Leroy alidai wakati wa likizo alikuwa akija Dar es Salaam kumtembelea baba yake Suleiman Sane(aliifundisha Zanzibar miaka ya kati ya 2000 ) na walikuwa wakifanya mazoezi pamoja katika kiwanja cha Bandari TMK na amedai anatamani sana kurudi Tanzania kama kocha au kufungua shule ya mpira akistaafu soka.
Kila la kheri kijana
 
Asee ni kwel nimeenda kwenye profile ya sane nmefukunya nimeona. Baba yake ni msenegal anaitwa Sane Suleiman Jean. Alikua striker wakat anacheza soka na mwaka 2010 alikuwa kocha wa Zanzibar heros. Asante mkuu kwa madini.

Mbona hata wewe mkuu hujaweka link.
Muhimu kujadili vitu tukiwa na taarifa sahihi.
 

Aje kwa mfalme wa dunia..
 
Nimeipenda hii ,maisha ya uswazi matamu sana,usikute kuna demu wake Tandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…