Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
LESENI NA VIBALI VYA BIASHARA YA MAFUTA ZIMETOLEWA!
Serikali kupitia EWURA imeendelea kusimamia mkondo wa kati na chini wa Sekta Ndogo ya Mafuta ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika, usalama na ubora wa miundombinu na bidhaa za mafuta nchini.
Hadi kufikia mwezi Machi 2025, EWURA ilitoa leseni 580 za biashara ya mafuta ambapo kati ya hizo, leseni 204 zilikuwa mpya na 376 zilikuwa zinahuishwa.
Hadi kufikia mwezi Aprili 2025, EWURA ilitoa vibali 215 vya ujenzi wa miundombinu ya mafuta ambapo vibali 182 vilitolewa kwa vituo vya mjini na vibali 26 kwa vituo vya vijijini.
Huo ni Utekelezaji wa bajeti ya serikali ya mwaka 2024/2025 kwa Wizara ya Nishati.