Leseni ya biashara

Leseni ya biashara

Mpevu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,803
Reaction score
175
Wadau,
Naomba kuuliza kwa wajasiriamali kufanya usajili wa duka lako ili ulipe kodi zitakiwazo TRA ni kiasi gani chafikia kwa ukamilishaji wa usajili?
Namaanisha Leseni, TRA, VAT etc. Ni kwa ajili ya duka tu la bidhaa za kawaida na si jumla.
Kwa wazoefu chonde nisaidieni kujua tu ili nijue jinsi ya kujipanga.
 
Kwa mujibu wa sheria vitu vyote hivyo ni bure! Hutakiwi kulipia gharama yeyote. Na kama ni duka dogo la rejareja hutakiwi kujisajili kama wakala wa kukusanya VAT.

QUOTE=Mpevu;2653286]Wadau,
Naomba kuuliza kwa wajasiriamali kufanya usajili wa duka lako ili ulipe kodi zitakiwazo TRA ni kiasi gani chafikia kwa ukamilishaji wa usajili?
Namaanisha Leseni, TRA, VAT etc. Ni kwa ajili ya duka tu la bidhaa za kawaida na si jumla.
Kwa wazoefu chonde nisaidieni kujua tu ili nijue jinsi ya kujipanga.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom