Leseni ya export

Eraldius

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
1,122
Reaction score
912
Asalaam
Kama kichwa kinavosema. mwenyeufahamu au ambaye tayari amepata hii leseni ya usafirishaji bidhaa mbalimbali kwenda nchi jirani za Afrika Mashariki, naomba anisaidie kufahamu hatua zakufuata na gharama zake mpaka naimiliki.
Nitashukuru kwa michango yenu
 
Ahsante. TFDA watamaliza michakato yote, sio?
Wao ndio wanaotoa kibali cha kusafirisha bidhaa za vyakula, dawa, vifaa tiba, vipodozi kwenda/ kutoka nje ya nchi.

Taratibu zingine watakuambia wao wenyewe
 
Wao ndio wanaotoa kibali cha kusafirisha bidhaa za vyakula, dawa, vifaa tiba, vipodozi kwenda/ kutoka nje ya nchi.

Taratibu zingine watakuambia wao wenyewe
Nashukuru sana ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…