Leseni ya Gazeti la Mwanahalisi yasitishwa kwa miezi 6

Ndio anachoweza Msigwa na vidampa wenzie kwa sasa.

Halafu kuna siku nilikasikia eti kanasema katika ukanda huu Tanzania ndio inaongoza kwa uhuru wa vyombo vya habari, yaani kichwa cha habari tu kimewatoa mapangoni kufungia gazeti.

The Standard ingekua ipo Tanzania sio tu ingefungiwa ninaamini wangetekwa kuanzia wahariri na ofisi kulipuliwa kama wangeandika vichwa hivi vya habari na ukijumlisha namna wanavyomkosoa Ruto.
 
Habari yao ndio imewaponza

Habari hii 👇

IMANUEL NCHIMBI AGOMA KUJIUZULU

ndio imewaponza
Wameshindwa kuthibitisha iyo Habari yao sijui
walitoa wapi🫎🫎
Serekali inataka vyombo vya habari view vinaandika itakacho. Kama si mitandao ya kijamii, Tanzania tungekuwa tunalishwa upuuzi wa serekali tu.
 
Habari kutoka Idara ya Habari Maelezo ni kuwa Gazeti la Mwanahalisi limefungiwa kwa miezi 6.
This was expected baada ya ile story ya CCM!.
Mkuu Para,@parabolic, asante kwa taarifa hii6, masikini rafiki yangu Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi, anakwenda kufungiwa tena kwa kuripoti habari za uongo na uzushi wa kulisha watu maneno!.

Kwa kawaida ya vikao vya CCM,baada ya kikao,Mwenezi hutoa taarifa ya kikao, na uamuzi wa mtu kuitwa kamati ya maadili, hutolewa taarifa. Kwa vile mpaka sasa hakuna taarifa yoyote rasmi kutoka CCM, mtu kufikishwa maadili, hii maana yake taarifa hii ni taarifa ya umbea na uzushi.

P
 
Mwanahalisi wana habari nyingi sana zilizofanya wafungiwe ambazo chama hakipendi kusikia..
 
Ya yuda kugoma kujiuzulu?
Yes, ila Nchimbi ni Yuda Tadei sio Yuda Iskariote.
Mkuu Para,@parabolic, asante kwa taarifa hii6, masikini rafiki yangu Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi, anakwenda kufungiwa tena kwa kuripoti habari za uongo na uzushi wa kulisha watu maneno!.

Kwa kawaida ya vikao vya CCM,baada ya kikao,Mwenezi hutoa taarifa ya kikao, na uamuzi wa mtu kuitwa kamati ya maadili, hutolewa taarifa. Kwa vile mpaka sasa hakuna taarifa yoyote rasmi kutoka CCM, mtu kufikishwa maadili, hii maana yake taarifa hii ni taarifa ya umbea na uzishi.

P
 
Yes,
ikiwa limekiuka sheria, kanuni, taratibu na miiko ya kiuandishi nadhani ni sahihi kabisa, na ni funzo kwa magazeti mengine 🐒
ZILAANIWE SHAHAWA CHAFU ZA BABA YAKO ALIZOMMWAGIA MAMA YAKO UKAZALIWA ***** WEWE TLAATLAAH LUCAS MWASHAMBWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…