Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali kuhusu Uhuru wa Habari Tanzania, baada ya kutokea Lisemwalo Lipo!, kwa Kilichosemwa Kutokea Kweli, Je Gazeti la Mwanahalisi lipongezwe kuibua ukweli fiche?, lisamehewe au liendelee tuu kubananishwa?, kwasababu ni kweli habari yao hata kama ni kweli, lakini...
Gazeti la MwanaHALISI linakiri kupokea barua kutoka Idara ya Habari – MAELEZO, ikimtaarifu Mhariri Mtendaji kuhusu uamuzi wa kusitisha leseni ya gazeti hilo kwa kipindi cha miezi sita, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026.
Katika barua hiyo, Idara ya Habari – MAELEZO imeainisha hoja mbalimbali kuhusu...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekemea vikali uamuzi wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO) wa kulifungia na kusitisha leseni ya gazeti la MwanaHALISI kwa kipindi cha miezi sita kuanzia tarehe 19 Agosti 2026.
Uamuzi huo wa serikali ulikuja kufuatia taarifa...
ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema hatua hiyo imetokana na madai ya kukiuka viwango vya usahihi, mizania na uthibitishaji wa taarifa...
KUSITISHWA KWA LESENI YA GAZETI LA MWANAHALISI KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA (6)
Idara ya Huduma za Habari (MAELEZO) inapenda kuujulisha Umma kuwa leseni ya gazeti la MwanaHALISI imesitishwa kwa miezi sita (6) kuanzia tarehe 19 Agosti, 2026 kutokana na kukiuka sharti la 3 katika Leseni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.