ACT Wazalendo: Tunalaani Kusitishwa kwa Leseni ya Gazeti La Mwanahalisi, Hatua Hiyo Isitishwe Mara Moja

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
WhatsApp Image 2026-08-19 at 18.02.56.jpeg

ACT Kufungiwa kwa Gazeti- Mwanahalisi-2026-Mwisho_page-0001.jpg
ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema hatua hiyo imetokana na madai ya kukiuka viwango vya usahihi, mizania na uthibitishaji wa taarifa.

Tunatambua wajibu wa vyombo vya habari kuzingatia weledi. Hata hivyo, makosa ya kitaaluma yanapaswa kushughulikiwa kwa njia inayolinda uhuru wa habari, haki ya kusikilizwa na maslahi ya umma. Serikali imejipa mamlaka ya kumchunguza, kumsikiliza na kumuadhibu mtoa huduma wa habari. Hii inakinzana na kanuni za haki na utawala bora.

Uhuru wa habari na haki ya kupata, kutoa na kupokea taarifa ni nguzo za Katiba, demokrasia na uwajibikaji wa Serikali. Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ya mwaka 2016 na sheria nyingine zinazoweka mamlaka makubwa Mkurugenzi wa Habari juu ya vyombo vya habari zinapaswa kufutwa na kuondoa vifungu vinavyokandamiza uhuru wa habari.
WhatsApp Image 2026-08-19 at 18.03.47.jpeg
ACT Wazalendo tunaitaka Serikali isimamishe mara moja adhabu dhidi ya MwanaHALISI na kurejesha leseni yake.

Aidha, tunatoa rai kwa wanahabari, vyama vya Siasa, Azaki na wapenda demokrasia wote nchini kuunganisha nguvu kupigania kuundwa kwa chombo huru cha kitaaluma cha wanahabari kushughulia malalamiko yao; kupigania kufutwa kwa sheria zote kandamizi na kuetetea uhuru wa vyombo vya Habari nchini. Udhalimu dhidi ya mmoja ni udhalimu kwa wote. TUUNGANE SASA dhidi ya dola dhalimu na tishio kwa demokrasia yetu.

Kufungia gazeti ni hatua inayogusa haki ya jamii kupata taarifa na kufuatilia uwajibikaji wa wenye mamlaka. Serikali inayoheshimu demokrasia inapaswa kuvumilia ukosoaji, si kutumia sheria kandamizi kuinyamazisha jamii.

Ndg. Shangwe Ayo
Waziri Kivuli wa Mawasiliano, Habari na Teknolojia ya Habari 19 Agosti, 2026
 
ok.🐒
 
Serikali ya Tanzania inataka ifanye kila kitu... Au wengine wakifanya iwe wanavotaka wao!
Elimu mbalimbali ni mzigo kwa Taifa!
 
Haki ingetaka anayehisi kakosewa aende mahakamani, na sio kuhukumu na kuadhibu mwenyewe.

Iwapo kanuni zinaruhusu kuadhibu bila kupitia mahakamani, kanuni hizo ni tenge na sio za haki.
 
ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema hatua hiyo imetokana na madai ya kukiuka viwango vya usahihi, mizania na uthibitishaji wa taarifa.

Tunatambua wajibu wa vyombo vya habari kuzingatia weledi. Hata hivyo, makosa ya kitaaluma yanapaswa kushughulikiwa kwa njia inayolinda uhuru wa habari, haki ya kusikilizwa na maslahi ya umma. Serikali imejipa mamlaka ya kumchunguza, kumsikiliza na kumuadhibu mtoa huduma wa habari. Hii inakinzana na kanuni za haki na utawala bora.

Uhuru wa habari na haki ya kupata, kutoa na kupokea taarifa ni nguzo za Katiba, demokrasia na uwajibikaji wa Serikali. Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ya mwaka 2016 na sheria nyingine zinazoweka mamlaka makubwa Mkurugenzi wa Habari juu ya vyombo vya habari zinapaswa kufutwa na kuondoa vifungu vinavyokandamiza uhuru wa habari.
ACT Wazalendo tunaitaka Serikali isimamishe mara moja adhabu dhidi ya MwanaHALISI na kurejesha leseni yake.

Aidha, tunatoa rai kwa wanahabari, vyama vya Siasa, Azaki na wapenda demokrasia wote nchini kuunganisha nguvu kupigania kuundwa kwa chombo huru cha kitaaluma cha wanahabari kushughulia malalamiko yao; kupigania kufutwa kwa sheria zote kandamizi na kuetetea uhuru wa vyombo vya Habari nchini. Udhalimu dhidi ya mmoja ni udhalimu kwa wote. TUUNGANE SASA dhidi ya dola dhalimu na tishio kwa demokrasia yetu.

Kufungia gazeti ni hatua inayogusa haki ya jamii kupata taarifa na kufuatilia uwajibikaji wa wenye mamlaka. Serikali inayoheshimu demokrasia inapaswa kuvumilia ukosoaji, si kutumia sheria kandamizi kuinyamazisha jamii.

Ndg. Shangwe Ayo
Waziri Kivuli wa Mawasiliano, Habari na Teknolojia ya Habari 19 Agosti, 2026
Bure kabisa nyinyi na ccm ni damu damu acheni utapeli
 
P
 
Mwanahalisi walipewa nafasi ya kusikilizwa lakini wameshindwa kuthibitisha habari yao.

Sina shida kufungiwa Mwanahalisi kwa sababu magazeti yenyewe siku hizi mimi si mteja wala sisomi zaidi ya kuangalia tu headlines mtandaoni, lakini hoja ksma ni kusimamia sheria basi iwe kwa magazeti yote.

Tunakumbuka gazeti pendwa la Uhuru lilimnukuu Mama Samia hatogombea tena Urais mwenyewe akawa mbogo akaja juu lakini gazeti pendwa halikufungiwa kwa kumlisha maneno Rais.

Haya kuna hawa kina Habib Mchange na Jamvi la habari nadhani hili ndio lingepaswa kufungiwa siku nyingi sana.

Kinachokera kuna magazeti ni propaganfa machine ya serikali yanachonganisha watu na kuwachafuwa lakini hayachukuliwi hatua yoyote.

By the way mimi sisomi magazeti kwahiyo mtajuwana wenyewe.
 
Back
Top Bottom