tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekemea vikali uamuzi wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO) wa kulifungia na kusitisha leseni ya gazeti la MwanaHALISI kwa kipindi cha miezi sita kuanzia tarehe 19 Agosti 2026.
Uamuzi huo wa serikali ulikuja kufuatia taarifa zilizodai kuwa gazeti hilo limekiuka masharti ya leseni kwa kuchapisha maudhui yaliyokosa usahihi na mizania kwenye toleo lake Na. 571 la Agosti 6–12, 2026, lililokuwa na kichwa cha habari "Nchimbi agoma kujiuzulu."
Zaidi Soma: Leseni ya Gazeti la MwanaHALISI yasitishwa kwa Miezi Sita
Pia soma